Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari , karibu katika kampuni ya GCC wauzaji na watengenezaji wa vitanda aina ya PALLET (PICHANI) vitanda ni brand new design na ina meet your standards , ni kuanzia ngazi mbili na kuendelea ...
0 Reactions
1 Replies
568 Views
LAPTOP : DELL INAUZWA IPO. MOSHI MJINI MAENEO YA KCMC CHUONI , MAPIPA ROAD.....INA RAM 8GB , ROM 1TB. ..... SYSTEM TYPE NI 64 bit , ..INATUMIA WINDOW 10 Pro... BEI LAKI 9 Karibuni 0672701329
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa...
2 Reactions
0 Replies
358 Views
Habari za muda wakubwa.naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya lubricant . Nataka kuanza hii biashara but sina uelewa wa mambo ya msingi yanayotakiwa customer wapo wa kutosha. Napenda...
0 Reactions
13 Replies
16K Views
Make: RANGE ROVER Sajali wa namba E Model: VOGUE LWB Year of manufacture : 2015 Fuel: Diesel Color: Brown Leather seat Panoramic Sunroof Rear entertainment Full Option New registration Massage...
5 Reactions
6 Replies
722 Views
Kiwanja kipo kigamboni kisarawe 2 Km 1 kutoka barabara kuu. ukubwa ni 20 kwa 20 Kipo eneo zuri linaloanza kuendelea Bei ni milioni 5 (mazungumzo yapo) Hakuna dalali ni changu mwenyewe...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Pata hii tv (full box) ufurahie maisha na family, its amazing, wafanye familia na kids wafurahi zaidi ukiwa na hii. 650k only Contact now : 0697224996
0 Reactions
9 Replies
866 Views
Call 0628880380 OFFER kwa 270tsh Google Pixel 4a 5G-Resolution 1080 x 2340 pixels,-Android 14-128GB storage -6GB RAM
2 Reactions
4 Replies
707 Views
Ni msimu wa mavuno ya mahindi sasa, Hapa ni wilaya ya Mbinga, mkoa wa Ruvuma , ... Bei ya mahindi ni 300tsh hadi 350 tshs kwa Kg Karibuni,NINAYO SITE, godown kubwa, na facilities zingine...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
1:LCD WRITING TABLETS Hizi Kwaajili ya watoto zinapatikana !! !! ! 8.5 inches 10,000 10 inches 13,000 12 inches 16,000 [emoji3504]Hizi ni nzuri sana kwa watoto wanaojifunza kuandika na kuchora...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kupata frame Katoro, mwenye kufahamu au mwenye mawasiliano ya dalali au dalali mwenyewe naomba tuwasiliane. Shukrani.
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Kama unavokiona 270 tu na godoro unachukua ni 5*6 ukikipenda kiwahi haraka before kiende #SOLD SOLD SOLD GUYS🙏
2 Reactions
6 Replies
779 Views
Habari za Leo wapendwa! Leo nawaletea biashara ambayo unaweza kuifanya kwa mtaji mdogo na kuifurahia. BIASHARA YA DAGAA NYAMANONO yaan dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza. Dagaa Hawa wakiwa...
10 Reactions
69 Replies
4K Views
Karibuni sana hapa Banana, Tumefungua ofisi mpya kwa huduma zilizopo hapo juu; Licha ya hayo, pia; 1. Tunasajili Kampuni, jina la biashara 2. Tunasajili Miradi ya uwekezaji (TIC) 3. Tunafuatilia...
3 Reactions
4 Replies
600 Views
Mjasiriamali unahitaji mashine za kusaga na kukoboa kwa bei ya kukujali na zikiwa imara zenye uwezo wa kukurudishia gharama zako tunazitengeneza 0688147644 TUPO TABATA MSIMU HUO WA MAVUNO NDIO...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Hello! Heri ya mwaka Mpya. Nilipata changamoto nikapotea kidogo Ila nimerudi (wakulungwa wanaelewa nimepotea wapi). Back to business. Ninaomba mnisaiaide kupata eneo zuri la biashara ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nauliza ni wapi naweza pata dagaa nyama wa jumla, nipo mkoani nawaza kuwafata Zanzibar lakini mtaji wangu bado ni mdogo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toyota IST (DUU) Year 2005 2nz, 1290cc Bei Tsh 12,300,000 Toyota Harrier (DFV) Year 2004 2AZ VVT-i 2260cc Bei Tsh 21milion Nissan Dualis (EAA) Year 2008 Cc1990 Bei 16,500,000 Toyota Ractis...
1 Reactions
6 Replies
741 Views
OFA!! OFA!! OFA!! OFA!! Karibu NIZAR COMPUTER ACCESSORIES Leo tumekuja na OFA za Laptop zifuatazo: 1. Dell Latitude 3190 ✔ 4Gb Ram ✔128 Ssd ✔ Intel celeron Ofa zake ni FLASH 32GB, WIRELESS...
2 Reactions
1 Replies
497 Views
Pata ramani za nyumba zikiambatanishwa pamoja na makadirio ya ujenzi wa kila ramani pia utaweza kupata kibali cha ujenzi bila usumbufu. call 0686970690
2 Reactions
32 Replies
9K Views
Back
Top Bottom