Wapendwa nyumba inauzwa ni ndogo ya wastani ina vyumba viwili self na sebule jiko chumba cha tatu ndo kinamaliziwa kumeshafungwa wayaring ya umeme pameshafungwa mabomba ya maji ndani ya nyumba...
Habari wakuu. Nauza oil filter no 1 za kutoka Thailand. Kila box moja ni laki 3 na kwenye box zinakaa 100. Mabox yapo kumi. Sababu ya kuuza nabadilisha biashara.
Habari njema!Nauza pikpiki used hapa. Alie tayari tuwasiliane.
Bei 1.2m call me 0719474102.
Pikpik inauzwa fekon iko ktk hAl nzur bei m 1.2 chek me whatsup 0719474102 or cAll for more info.
Habari zengu wadau,
Kwa wale wanao itaji kunua filters (air filter, oil filter, fuel filter, hydraulic filter, transmission filter na air oil separator) kwa ajiri ya magari, generator, machine etc...
Naomba kuuliza ni benk gan au sacco gan nzur nifungue hapa dar ili niweke hela na nikope kwa mashart rahisi na riba ndogo nianzishe biashara!!ukimbukwe wakat nakopa xna biashara kama dhamana ndo...