Shamba linauzwa lipo Morogoro, limepakana na mto Ngerengere, lina ukubwa wa ekari 500, lina miti ya asili na miti michache ya kupandwa, limepimwa na lina hati, nauza kuanzia eka 1 kwa sh. laki...
Iwe na sifa zifuatazo kwa uchache (Minimum specs)
* core i3 processor second generation
* 320 Hard disk drive
* 14 Inches screen
* 2 GB ram
Addition :
* iwe in mint condition
* Laptop hinges...
Wasalaam,
Kama unahitaji eneo zuri la kufanyia biashara ya kuuza chips pamoja na vifaa vyake Kimara mwisho basi wasiliana na muhusika huyu haraka ili ubahatike. namba ni 0716 476296 anaitwa...
Wadau, habari zenu!!
Nina miliki smartphone HTC One X...Simu hii niliinunua yapata miezi miwili sasa. Wiki mbili zilizopita niliiangusha bahati mbaya katika sakafu na hivyo kuvunjika screen na...
Hello wanajf!
Ninaanzisha mradi wa kufua nguo kwa mashine za kisasa hapa mbeya mjini (eneo fulani).
Nahitaji mwenye uelewa mashine bora za kufua na kukaushia (wapi zipo hapa dar).
Tafadhari npm...
inch 45---> 895,000
Inch 32---> 495,000
Kumbuka TV ni original na hazina tatizo lolote.. Unakagua kwanza mzigo then makubaliano...
Phone: +255654838131
Location: Dar es saalam..
THE AUTOMATED WEB APP IS AVAILABLE FOR UNLOCKING SMART PHONE BY EMI REMOTELY
The web based system is coded to unlock all smart phone worldwide by which the client enters phone details such...
Wandugu nina collection ya novels za authors maarufu naziuza kwa bei nafuu. Authors hao ni kama Mario Puzo, Harrold Robbins, Sydney Sheldon, Barbara Taylor Bradford, Chase na wengineo. Chase sh...
Nafanya editing ya dissertation for 3,000 per page. Pia naprovide assistance kwa wale ambao wanaanza au kuendelea na dissertation writing. PM for contacts.
Habari Wandugu,
Kama Title inavojieleza ,
Gari hili hapa...Linauzwa..dharura imetokea hela inahitajika haraka.
Make : Toyota Carina
Model: ED
Engine Type: 3S cc 1990 (nzima sana haijawai...
Ninauza tablet ya android yenye inchi 7. Tablet ni mpya na iko ndani ya box lake na ina vifaa vyake vyote kama chaja,earphones,usb cable na connector.
Specification:
Memory internal 4Gb na memory...