Shamba linauzwa (Morogoro)

Shamba linauzwa (Morogoro)

msweken

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
441
Reaction score
1,717
Shamba linauzwa lipo Morogoro, limepakana na mto Ngerengere, lina ukubwa wa ekari 500, lina miti ya asili na miti michache ya kupandwa, limepimwa na lina hati, nauza kuanzia eka 1 kwa sh. laki mbili (200,000), mazungumzo yapo kama unataka shamba zima, kwa yeyote aliye siriaz tuwasiliane kwa no 0652111118.
 
Ardhi ya Ngerengere inafaa kwa kilimo gani mkuu na shamba lako limepimwa au ni shamba la kienyeji na kutoka bara barani hadi shamba kuna umbali gani na je kunapitika
 
ni kama km 30 kutoka mjini, shamba limepakana na mto ngerengere ambao una maji kwa mwaka mzima..
 
Hebu ni-PM kuweza kufahamu zaidi:-
  1. Umbali kutoka barabara kuu (Dar-Moro)
  2. Accessibility (shamba linafikika kwa urahisi?)
  3. Ardhi: Ja ardhi y ahuko inafaa kilimo gani?

Shamba linauzwa lipo Morogoro, limepakana na mto Ngerengere, lina ukubwa wa ekari 500, lina miti ya asili na miti michache ya kupandwa, limepimwa na lina hati, nauza kuanzia eka 1 kwa sh. laki mbili (200,000), mazungumzo yapo kama unataka shamba zima, kwa yeyote aliye siriaz tuwasiliane kwa no 0652111118.
 
shamba limepimwa na lina hati..... lina udongo wenye rutuba sana, karibu kila zao linastawi..
 
Hebu ni-PM kuweza kufahamu zaidi:-
  1. Umbali kutoka barabara kuu (Dar-Moro)
  2. Accessibility (shamba linafikika kwa urahisi?)
  3. Ardhi: Ja ardhi y ahuko inafaa kilimo gani?
namboa uni pm namba zakoo zoote na email kama unatumia
ntakutafuta lakini sio sasa
 
kaka call mi if ua siriaz 0652111118 and we can talk..
 
poa mkuu, naku pm bt kama unalitaka u better act fast coz this is b/ness na yoyote anaweza nunua.
 
mwizi huyu nilimpigia anasema hana shamba , yuko Mbeya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom