Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naomba kwa anayefahamu bei na aina mbalimbali za mashine ya kufyatua tofali ambazo ni imara anijuze bei, na sehemu zinapopatikana
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Vigezo vya kupewa huduma 1. Nida ID au namba ya nida 2. Tin certificate au Tin namba 3. Email 4. Pesa ya security deposit (Pesa ya dhamana) mfano unataka kifurushi cha ef40 unalipa ef40 kama...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nitaenda kwenye pointi. Huu uzi ni kwa ajili yako kama una matumizi makubwa sana ya internet ya na unatafuta unafuu. Nafanya Kazi Tigo. Kitengo cha Tigo Business. Wazee wa Postpaid Kwa kawaida...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu 1. Router ni bure 2. Router ni ya 5G 3. Tunakuletea popote 4. Vifurushi ni unlimited 5. Ina connect watu 65 at once umbali wa metre 100 Nini cha kufanya uwe na vifuatavyo Kama ni mtu...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Bei Ya China Bila Usafiri 3500 kwa pea Size 20-33 Pack 1 Makadirio Usafiri kwa meli 1000-2000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutengeneza kipato cha majengo ni moja ya njia ya kujenga utajiri. Njia hii ya kumiliki majengo ya biashara ya kupangisha imeonyesha ufanisi mkubwa kuwasaidia wengine kujenga utajiri. Kipato cha...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Huku mkoa wa Lindi na Mtwara tunatarajia kuvuna mbaazi nyingi sana, je kuna mtu anajua bei ya Mbaazi kwa mwakahuu? Au matarajio ya soko litakuwa vipi? Mwaka jana najua soko liliyumba kidongo...
0 Reactions
50 Replies
14K Views
Udalali wa ardhi na majengo unahusisha huduma za kitaalamu zinazotolewa na madalali katika shughuli za kuuza, kununua, au kukodisha ardhi na majengo. Hapa kuna muhtasari wa masuala muhimu katika...
2 Reactions
2 Replies
836 Views
• Direction: Maduka Mawili • Condition: Ya kuhamia • Rent: TZS milioni 2/mwezi • Terms: Miezi 6 au mwaka • Security deposite: TZS milioni 2 (ilipwe mwanzo wa mkataba. Itarejeshwa mwisho wa...
2 Reactions
4 Replies
609 Views
Nataka YELLOW BEANS gunia 40 Kila wiki naweza kujia Arusha ama Moshi. Nope Bei ya gunia.
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Habari, Moja ya maeneo yangu ya ushauri na utendaji kama ushauri na usaidizi ni katika kuchanganua mawazo ya uanzishashwaji miradi ya kiuchumi na kijamii pia uendelezaji wake. Na katika hayo...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Tunafunga CCTV camera Kwny Nyumba,maduka,biashara,ofisi,kiwanda,HOTELINI NK... Pia TUNAFUNGA ktk nyumba za mifugo kwa ajili ya kufatilia Hali Yao na hata ukiwa umesafiri mbali utaona vyote kupitia...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Usiogope Kuhusu Gharama Wala Ukubwa Wa Shamba. Farmside Company Tupo Kwaajili yako. Baada ya kukamilisha kufunga mfumo wa drip, mapema mteja amepanda Miche ya Mboga Mboga Aina tofauti tofauti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sony Experia 8 Rom 64 GB PRICE 180
0 Reactions
6 Replies
615 Views
Bei ya Hisense smart tv 32" - 380,000 40" - 580,000 43"- 650,000 50" - 899,000 55"- 1000,000 58"- 1,200,000 Warranty mwaka mmoja (miezi 12) Tv mpya dukani karibuni, location Mwenge. WhatsApp...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, kama wewe ni android developer na una account ya google console ambayo umeifungua kabla ya mwaka 2023. Nina uhitaji wa google console account / play store developer account. Njoo pm please
0 Reactions
7 Replies
809 Views
Milioni 3.5. iko katika hali nzuri sana
4 Reactions
11 Replies
734 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta Banda la kununua Moshi mjini..Banda la bati linalohamishaika.....Mwenye nalo anicheki hata inbox
1 Reactions
0 Replies
313 Views
FOR RENT CHUMBA MASTA NA SEBULE : TSHS 150,000/= MAHALI: Mbezi beach TANGIBOVU. CALL : 0679268006. ○ Tailizi, Gipsam. ○ Umbali kutembea ○ Ndani ya fensi, Maji ndani. ○ Umeme submita
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Tupo Moshi tunatengeneza website kwa bei nzuri ila tawi letu lipo Arusha City,. Nandipo tulipoanzia . inbox me if unahitaji Logo nzuri za kisasa ,websites nzuri ambazo zimeundwa kwa miundo ya...
0 Reactions
4 Replies
320 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…