Ensuring that services running on your server is uninterrupted is a prime consideration for your business. At Datasoft Datasoft Networks - Portal Home we realize how important the significance the...
Salaam wadau...nauza friji yangu used kama ifuatayvo:
Make ni LG,Rangi ya silver,inasehemu ya juu ya barafu na chini ya kawaida.Bei ni laki 2 tu.Ipo Dar.Mawasiliano 0689900000
Jipatie Original QUEEN ELISABETH COCOA BUTTER CREAM kwa tsh 20,000 kwa bei ya jumla kuanzia makopo 10, au 22,000 kwa kopo moja moja , kwa anayeitaji tupigie 0719-808849.... Ndio tumeingiza mzigo...
Laptop compaq presario CQ56 hard disk 250GB RAM 2GB webcam wireless bluetooth DVD writer battery life 15min price 250.000tsh only with FREE NEW 16GB Flash Disk.
Call: 0713 - 388 226
Habari zenu...
Kichwa cha habari chahusika, wale walioko Jijini Dar Es Salaam fikeni bila kukosa.
Ni mkutano wa Kiinjili wa Kanisa la Waadventista Wasabato Ulimwenguni kote.
Mgeni rasmi...
Nauza camera ya canon eos bei chee haina tatizo lolote lile tshs.280,000.kwa wale wa kupenda kujipiga picha au masherehe kazi kwenu kama upo serious ni chek 0716385824
Habari mabibi na mabwana kwa kiufupi nauza piki piki yangu kwa kiasi cha thamani ya tsh 4,300,000
piki piki yangu ina namba C na haina tatizo lolote imetumika kwa matumizi ya binafsi tu kwa...
Wakubwa mimi nina shida nianzishe mfumo wa cable hivyo nina shida ya modulator na amplifier booster za kusukumia mawimbi kwa wateja wangu mwenye ujuzi anipe mawazo.
Wakazi wa Arusha na mikoani, nawaletea Mitumba ambayo ni first grade, viatu vizuri mwenyewe utaridhika ukiviona, free delivery popote ndani ya Arusha mjini.
Bei ina range from 35-50, duka lipo...