Sehemu ipo kipunguni B karibu na leli . Anahityajika mpangaji ambaye atafanya ukarabati ili kuboresha na kuifanya sehemu ya kuvutia . Maji umeme vipo jirani . Bei ni 150000 kwa mwezi . Zaidi...
Kipo kigamboni ' eneo la cheka kipo karibu na ujenzi wa apartment za akbar . Ni umbali wa 1 km kutoka barabara iendayo kimbiji. Kipo tambalale na upimaji wa awali umefanyika imeonesha ni eneo la...
Nimekuwa nikiangalia specifications za simu nimekuwa nikikutana na RAM kwa kiasi najua ni Random Access Memory na si zaidi ya hapo, GHZ hii siifahamu na Internal Memory najua kama inavyojieleza...
Habari ndugu zangu.mimi nafanyia shuguli zangu mikoani ila nataka nije dar nitafute bajaj iliyotumika ila iwe bado nzima inatembea.sababu naona dar zipo nyingi.mwenye nayo anichek what sap 0757 539994
Nauza suzuki escudo bei ni milioni 5 Na Hizi ndio details za hii suzuki;
Registration number: t 746 aat
make: suzuki
model: escudo
model number: tdiiw
body type: station wagon
color: blue...
A 3 bedroom house for rent by the owner at Mji Mwema Ugindoni Kigamboni facing tarmac road with good garden and ample car parking space at only 900,000 Tsh.
For more details on the house click...
Natafuta shamba kibaha-Kuanzia heka 1 hadi 5/any
Kiwe ndani ya kilometa 10 toka morogoro road/isizidi kilometa 10
Offer yangu haizidi 1mil kwa heka moja
Nawasilisha
Tanzania Job Portal / Website For sale:
www.ajirakwanza.com is for sale.
If interested send mail to technologiestz@yahoo.com or
call: 0689-653725
www.ajirakwanza.com
Mwenye suzuki Escudo milango mitano anitumie na picha zake kabisa mara baada ya kuona picha ndipo sasa tunaweza kuzungumza biashara lakini mpaka niione tena kwa macho
namba iwe kuanzia B na...
3 HOUSES FOR SALE
3 Houses are for sale in Sala Sala Wazo Hill Ward.
Located next to each other.
Just 200 meters from Tarmac Sala Sala Road
Each house has;
Plot size 900 square meters...
3 HOUSES FOR SALE
3 Houses are for sale in Sala Sala Wazo Hill Ward.
Located next to each other.
Just 200 meters from Tarmac Sala Sala Road
Each house has;
Plot size 900 square meters...
Habari wana jf!
kuna Mtu anaitwa John yeye ni mjerumani anayenunua mbegu za mlonge,maua na unga unaotokana na majani ya mlonge.
Taarifa za huyu mtu nilizipata ktk kipindi cha redio East Africa...
Macbook pro
Processor: intel core i7 @2.9ghz
RAM:8GB
Graphics:intel HD graphics 4000 1024MB
HDD:750GB
Screen size: 13"
used but in very good condition.
Bei 1.4 m
==========
ipad 4 16gb internal...