Kiwanja kinauzwa Kigamboni sqm 6000

Kiwanja kinauzwa Kigamboni sqm 6000

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kipo kigamboni ' eneo la cheka kipo karibu na ujenzi wa apartment za akbar . Ni umbali wa 1 km kutoka barabara iendayo kimbiji. Kipo tambalale na upimaji wa awali umefanyika imeonesha ni eneo la makazi . Bei ni 45m. Zaidi 0657145555
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom