Kiwanja kipo mkoani Mtwara maeneo ya shamba la Chumvi mkabala na barabara kuu ya kwenda Dar es salam. Ukubwa Ni ekari 1, Kinafaa Kwa biashara hata makazi. Kwa mawasiliano zaid piga namba 0657180432.
Kiwanja ni kizuri hakina bonde.
Kiwanja hakipo square (Sambusa).
Kipo Bunju A (kituo usalama).
Barabara inafika hadi kwenye Kiwanja, huduma zote muhimu zipo karibu.
Bei Milioni 12.
#0752953860
Habari,
Kuna ploti inauzwa tengeru- Arusha, kilometa 10 toka Arisha mjini. Ukubwa hatua 30 kwa 17. bei milioni kumi na nane,(18million)
Huduma za maji, umeme, Barabara zinapatikana.
Kwa...
Type:026/12/solar(Lead Acid)26 Ah C20Maximum Voltage 13.8 min Voltage 10.8Max dendensity-1.2 50. Min density 1.2 25Filing Density-1.245@25°cMax Ch. Volt 14.4, FI. Volt 12.8 & Load...
4 newly built villas for rent at Mbezi Beach near White Sands Hotel. Each villa has 4 bedroom, 3 toilets and a specious kitchen and living room with ample parking space. For more details on the...
Salam wa jukwaa,
Kuna nyumba inauzwa, iko Kawe Ukwamani, ina vyumba vitano na sebule kubwa, choo cha ndani na jiko. Imejengwa kwa ubora mkubwa, imezungushiwa ukuta na iko sehemu inayofikika kwa...
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji niko Tabora Kipalapala -Matankini. Ninao kuku wa kutosha kuuza kuku 200 kwa wiki. Kama unaona unaweza kuwa Mnunuzi wangu tafadhali tuwasiliane kwa namba...
Ndugu wana JF,
Nakodisha malori kwa miezi 6, Yote mawili ni tani 30 kila moja!! Moja ni semi trailer (linaburuza trailer nyuma) la pili ni single flat fleet.
ni PM tuongee..
PJN