Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini wadau,, mimi nipo dar nauza nguo za kike nzuri kutoka KAMPALA kama gauni, sketi blauzi, na viatu vya kike ambazo ni slipper or sendo weng tunaita na simpo. Natuma mizgo mkoani kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Window 7 Processor: Intel(R) core (TM) i5 2.27 Ghz RAM:6 GB HDD: 500 GB Type: Dell N Series With ESET NOD antivirus 1 YEAR LICENCE In a very good condition Bei Tshs: 400,000/=
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Natafuta sehemu ambayo nitaweza kufanyia biashara ya chakula (mama lishe) na vinywaji baridi. Eneo liwe sehemu yenye watu wengine kama stendi, vyuoni, mashuleni, nk. Iwe mkoa wa daressalaam
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Till ya M-pesa inahitajika, mahali pa kufanyia hiyo biashara ni Arusha, kwa yeyeyote anaeweza kusaidia upatikanaji wake naomba kusaidiwa.
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Habari Wana JF? Ninauza laptop yangu tsh 200,000/= tu. Inafanya kazi, local disk c=48.8GB, Local disk D=62.9GB, Aina yake ni Packard bell, ina virus program(avast free virus) vilevile nauza na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Nahitaji generator kubwa la kva 10 na kuendelea maximum 20kva....liwe kwenye hali nzuri sana na lisiwe magumashi... Liwe dar es.salaam.... Weka mawasiliano yako au pm... First come first served
0 Reactions
1 Replies
981 Views
kwa yule anayehitaji kuandikiwa andiko la mradi ( project poposal), andiko la utafiti (research proposal), mchanganuo wa biashara (Bussiness plan), facilitator (muwezeshaji katika masuala ya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Simu aina ya Gowin M8 inauzwa kwa sh laki 1 tuu. Ina miezi mitano tangu inunuliwe na haina michubuko na wala haina tatizo lolote. Chek me on 0759960313
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Habari wadau, Natafuta mtu aliyetayari kubadilishana nae gari anipe Rav 4 Manual transmission nimpe freelander 2 manual transmission ya 2004. Aliye tayari aniwekee namba yake ya simu ya mkononi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kilichopimwa (heka moja) na kina hati kinanauzwa. Kiwanja kipo 500m kutoka barabara kuu iendayo Dar karibia na eneo lililotengwa kwa ajili ya Ikulu. Kiwanja kimepimwa na kina hati bei...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu na wadau naomben msaada zilipo/ yalipo makao makuu ya ofisi hizi -zantel -tigo -voda -smart -Dstv -Tff
0 Reactions
5 Replies
9K Views
PATA HUAWEI Y300-Y320 KWA 90000 TU- BILA KUSAHAU WARRANTY YAKO YA MWAKA MZIMA AND FREE DERIVERANCY if interested nichek 0714547830
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Mwenye kujua wapi hapa Dar kuna Yard ya Magari ya mitumba ambapo naweza nikapata Carry iwe aina ya Suzuki , Toyota au yoyote ile kwa shillings Million 7. Naomba tuwasiliane kwa 0754485463 au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwenye kuuza gari aina tajwa hapo juu iliyo vizuri tuwasiliane kwa biashara
0 Reactions
7 Replies
2K Views
DELL OPTIPLEX 755 COMPUTER Desktop inauzwa: HDD 250GB RAM 2GB DUO CORE, 2.6GHZ MONITOR NCHI 19 MOUCE HAKUNA KEYBOARD - MBOVU WINDOWS 7 BEI 210,000/= 0769222882 - Dar es salaam
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Nauza blackberry z10 price.320,000 kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza ipad aina ya apple 32GB HDD, 1GB ram kwa laki tano na nusu..ukitaka ni pm
0 Reactions
0 Replies
747 Views
kifaa cha kupima purity ya gold kinauzwa (Alfa Mirage) bei ni dola 5000 maelewano yapo tiwasiliane 0712 800085
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Internal memory gb16,RAM gb3. Bei 750,000/ cash,mwenye kutaka tuwasiliane tufanye biashara.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta usiyokuwa imezidi mwaka kutumika. Mawasiliano 0755033997 na kutuma picha whatssup.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…