Karibu upate huduma za ujenzi kama ifuatavyo..
1. set of architectural drawings including the 3D view..
2.Techical drawings or structural drawings for storey building(yani michoro ya kiufundi...
Nataka kujuau ushuru wa used spare parts wa magari madogo na makubwa ukoje .Nataka kuanzisha hii biashara lakini ufahamu wa ushuru unavyo tozwa katika used spare parts bado ni kitendewili hususa...
Waungwana gari aina ya land cruiser hard top 1HZ inauzwa bei sawa sawa buree Ipo kwenye hali nzuri, nyeupe, inatumia leave spring mbele, low kilometer Na full ac. Mwenye nia apige au atume ujumbe...
Simu aina ya samsung galaxy star gt-5282 inauzwa ni simu ya line mbili zlizokatwa niused inauzwa sh laki moja kwa anae hitaji naomba anipm nipo dar
.
picha znakata kupload
Habari waungwana! Gari yangu aina ya Mitsubishi Pajero V24 imeharibika injini yake aina ya 4D56, kiasi kwamba itahitaji fedha nyingi kuitengeneza bora kununua nyingne. ninachohitaji kutoka kwenu...
Habari wanajamii,
Nlikua na idea ya kuanzisha chuo kinachotoa Certificate na baadae Diploma ya Mineral Processing/Metallurgy hapa Tanzania. Kwa sasa hivi,chuo yabidi kifate wanafunzi na kwa nchi...
Habari wana Jamvi, Ningependa kufahamishwa zilipo ofisi za kampuni ya MER Telecommunication Tanzania kwa hapa Dar es Salaam coz naona nimejaribu kutafuta bila mafanikio kwa muda mrefu.
Ahsanteni
Karibu uwekeze katika ardhi katika mikoa ya lindi na mtwara,pia unaweza pata ushauri wa taratibu zote za kumiliki ardhi kisheria na kupata hati ya umiliki.Tunakutafutia kiwanja unachohitaji na...
habari wakuuu mimi ni mmilikiwa blog ya udaku hapa tz kwa miaka miwili sasa ...mwanz ulikuwa mgumu lakini sasa kama mnavyoona baada ya kuweka effort binafsi nmefikia hapo ,,sasa mimi sio mchoyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.