Vifaa vya Dell laptop vinauzwa

Vifaa vya Dell laptop vinauzwa

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Aina ni Dell latitude E6430

vitu vinavyouzwa
screen 100,000
keyboard 70,000
adapter 70,000
battery 70,000
processor (core i5 @ 2.4 gh) 150,000/=
mouse (touchpad) 50,000
body 50,000
Ram (4 gb) 70,000
speaker 30,000/=
fan 30,000/=
cdrom 50,000

motherboard ndio imeungua ndo maana nauza kifaa kimoja kimoja
 
Kumbe kuuza kifaa kimoja kimoja ina faida sana... Mouse pad na keyboard hiyo bei umetisha mdau
 
Ukiuza ivyo vyote unapata kabisa pesa ya kunnua macbook.... una akili sana we mtu.
 
LUTAMBI jonnie_vincy inategemeana na aina ya laptop kama hii ni dell latitude e6430 core i5 ambayo ni very powerful so bei yake dukani ni kama mara mbili ya iyo bei ya vifaa
 
Last edited by a moderator:
LUTAMBI jonnie_vincy inategemeana na aina ya laptop kama hii ni dell latitude e6430 core i5 ambayo ni very powerful so bei yake dukani ni kama mara mbili ya iyo bei ya vifaa

Hahahaaa, wewe ulinunua bei gani mpya dukani, na mwaka gani?
Ngoja nikusaidie kupanga bei kulingana na bei za vifaa hivyo madukani kwa sasa:
Display screen-70,000
Keyboard-40,000 (mpya)
Adoptor-30,000 (mpya)
Battery-70,000 (mpya)
processor (core i5 @ 2.4 gh) 60,000/= (used)
mouse (touchpad) 30,000 (used)
body-maelewano (hakuna mpya)
Ram (4 gb) 40,000 (mpya)
speaker 15,000/= (used)
fan 15,000/= (mpya)
cdrom 40,000 (used)
Hiyo computer yako ina tatizo gani?
 
motherboard

iyo bei ulopanga ww hata kariakoo hupat
 
Aina ni Dell latitude E6430

vitu vinavyouzwa
screen 100,000
keyboard 70,000
adapter 70,000
battery 70,000
processor (core i5 @ 2.4 gh) 150,000/=
mouse (touchpad) 50,000
body 50,000
Ram (4 gb) 70,000
speaker 30,000/=
fan 30,000/=
cdrom 50,000

motherboard ndio imeungua ndo maana nauza kifaa kimoja kimoja

atakaenunua kitu kwako ni either ana pesa za kuchezea au hajui bei ya accesories za pc
 
Back
Top Bottom