Wakuu habari zenu, nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya tabata, nearby tabata matumbi, au tmk mikoroshini..its very urgent..kama ww ni dalali au waweza niunganisha na dalali, nicheki 0656142433...
Spacio namba d . This is good car if ur intrested check me out
ABOUT ME!
For More Information Please contact :
Call: +255782839988
Whatsapp: +255782839988
Dar Es Salaam Tanzania
Service All...
ENEO NI NJIRO KITUO GHOROFA MBILI KWA KIMBORI. Nyumba ziko hapo hapo jirani kabisaa na kituo.
Nyumba ya 1 ni 4 bedrooms, sebule kubwa, dining, stoo, master bedroom, fenced, Parking ya kutosha...
mabox 5 ya toner/cartridges ya hp 53a yanauzwa kwa shilingi 110, 000 kila moja na moja Canon kwa photocopy machine kwa 55, 000 shilingi. mwenye nia naomba ani pm
Prado for sale. Runs Great. And its really a good toyota cars. Get this SUV car going cheap just for 35ml
ABOUT ME!
For More Information Please contact :
Call: +255782839988
Whatsapp...
Habari wadau nauza shamba la hekari moja na nusu lililo na miti 1000 aina ya pain. Miti ina miaka mitatu shamba liko iringa.. kwa mawasiliano ; 0768181757
Karibuni sana.......
ipo mbagala kingugi ni safe contained vyumba vinne vyakulala sebule kubwa nyumba ya kisasa bei karibu na bure kwa mawasiliano zaidi piga namba 0712056964
Wakuu habari, naomba kujua hivi samsung galaxy note 4 kwa 500,000 inawezekana? Nimemkuta mkenya kwenye kupatana anauza hiyo bei.nataka kununua je ni kweli au utapeli.
Habar wana Jf,natumai mu wazima napenda kuwa taarifu kwamba,nauza sim Tecno H5 ipo katika hali nzur(moja) napatikana Moshi(itakufikia mahal popote),samahan sijaweka picha kwasaab ya harakaharaka...
Habari wa ndugu,kuna nyumba inauzwa maeoneo ya ukonga-kipunguni ina vyumba vitatu2,vyumba vimejenga kwa mfumo wa kupangisha,inauzwa million 16 tu,wahi sasa ujipatie makazi yako ya kuishi,mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.