Nyumba inauzwa kwa bei rahisi kabisa

Nyumba inauzwa kwa bei rahisi kabisa

julius caesar

Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
94
Reaction score
27
Habari wa ndugu,kuna nyumba inauzwa maeoneo ya ukonga-kipunguni ina vyumba vitatu2,vyumba vimejenga kwa mfumo wa kupangisha,inauzwa million 16 tu,wahi sasa ujipatie makazi yako ya kuishi,mwenye shida nayo anitafute namba ya simu 0719269820,karibuni sana!
 
Picha tafadhali.........na kwa nini inauzwa..........?.....
 
Wandugu kama mtu yuko serious kweli anitafute kwenye namba hiyo hapo juu niliyoitoa,na picha nitamtumia kwenye (what's up),changankieni nyumba hiyo haraka wandugu inauzwa bei rahisi sana na bado inauwanja mkubwa wa kujenga nyumba nyingine!
 
Back
Top Bottom