SHAMBA LA MITI LINAUZWA
Habarini wana Jamvi.
Shamba la miti lenye ukubwa wa takribani ekari sabini (70), linauzwa (Ardhi pamoja na miti).
Mahali. Nje ya Kidogo ya mji wa Mafinga, Mkoani Iringa...
Wadau,
Nawakatibisha mjipatie mayai ya Kware kwa ajili ya afya pia kwa ajili ya kuangulishia nicheki kupitia. 0717209059/0765347508 bei nafuu sawa na bei ya jumla inayoweza kukupa faida kama...
Sofa za leza kubwa la watu wawili na mawili ya mtu mmoja mmoja hayana michubuko,godoro imara na ni za ksasa zmenunuliwa mwezi wa pili bei ni 350,000 serious buyer only. ZINAPATIKANA GOBA, piga...
habari za jion wadau..
Friji au Frizer used inatafutwa.. kwa ajili ya grossary ndogo.
kama unauza friji unakaribishwa..
bajeti laki 3 kushuka chini.. kutegemea na ubora wa friji...
Ni deodorant ISIYO na Alminium Salt inayosababisha cancer ya ziwa.
Inatengenezwa na mmea asili wa aloe vera, haina harufu kali na unaweza itumia baada ya shaving.
Kupata yako au kwa maelezo...
Jaman wadau nauza kahuawei kangu y300 kwa bei ya hasara kabisa kwa saabu kameingia maji sasa touch ni ya kubadili nauza sim kwa shilingi 90,000 tuu mawasiliano
0786371108
Wadau hasa waliopo Arusha, Nahitaji haraka Laptop yenye kasi kwa ajili ya kazi zangu. Bei isiwe zaidi ya laki TANO
Mwenye nayo anijuze kwa namba 0785 847 867
Nauza printer aina ya Sharp model 286 Digital used ya Ulaya.
Hii ni colour printer ya laserjet yenye ngazi nne, ina uwezo wa kuprinti karatasi 28 za A4 kwa dakika na inaprint size za A 5, B 5, A...
Jaman wadau ipo note 4 mpya kabisa na box lake sema mimi si mpenzi wa Samsung ivo mwenye sim izo apo juu, hata kama ni used anitafute tuongee exchange asanteni..
Camera ni mpya almost, used about few weeks,(na ina accessories zote including tv cable ambayo unaweza play picha/video from camera kwenye tv directly)
Camera ina features zifuatazo
* 14...
B au c, isiwe rangi nyeupe, itakuwa vizuri vibali vyote vya gari vikiwa hai, gari iwe Ktk hali nzuri, cc iwe 1300
Bei ya kununulia ni 7.7mln mpk 7.5mln
Mimi mwenye mteja mwenye gari utanipa hela...