Haya serious buyer tu kama unahitaji sub woofer inapatikana kwa elfu 60 imenunuliwa mwez wa pili haina kasoro wala michubuko ina fm radio, remote, mahala pa kuchomeka flash na memory card na...
Nauza Accessories za Laptop na Desktop,Pia natengeneza Pc.
Accessories ni kama.....
Screen za Laptop
Charger za Laptop
Batry za Laptop
Keyboard za Laptop
Hard disk
Ram memory
Windows install...
Ndugu zangu nawatangazia kuwa kuna upotevu wa kitambulisho cha kazi na kadi za bank Canada na Tanzania. Vimepotea katika jiji la Dar. Vilikuwa kwenye pochi moja. Vyote vina jina MAKARIUS PETER...
Natanguliza salamu. Wakuu natafuta dealer ambae atakua anani supply battery na vifaa vya simu kwa jumla. Ikiwezekana hata simu za aina tofauti vile vile.
Ipo Kerege - kwa manofu, Bagamoyo, umbali wa mita 200 toka barabara kuu ya B'gmoyo - Mwenge.Nyumba ya kawaida sio self, vyumba 4, sebule ya kawaida.Kuna eneo la ziada.Kama wahitaji uni PM