Nyumba yauzwa Bagamoyo

Nyumba yauzwa Bagamoyo

diunal

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
498
Reaction score
70
Ipo Kerege - kwa manofu, Bagamoyo, umbali wa mita 200 toka barabara kuu ya B'gmoyo - Mwenge.Nyumba ya kawaida sio self, vyumba 4, sebule ya kawaida.Kuna eneo la ziada.Kama wahitaji uni PM
 
Kweli nyumba yauzwa ila bei hakuna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom