Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi. Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo...
4 Reactions
114 Replies
7K Views
Kiwanja caha biashara kipo opposite na New kibo complex Tegeta kina ukubwa wa 1260 square meters Kinafaa kwa matumizi ya biashara kama petro station, apartment, Maduka n.k Kianuzwa 850M Mazungumzo...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu. Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama...
9 Reactions
73 Replies
38K Views
Tunauza Scientific Calculators Original za fx-991 ES PLUS pamoja fx-991 MS Bei ya fx-991 ES PLUS ni 65,000/- na fx-991 MS ni 60,000/- Tupo Zanzibar, tunaweza tuma Dar na hata mikoani ila gharama...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Pata Vodacom sme Bure kabisa, uwe na nida, Tin number, picha yako, utapata ndani ya dakika chache nicheki kupitia +255753207909 NB: Maelezo yote nimeweka apa wakuu ukiwa na ivyo vielelezo ndo...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Jipatie huduma ya bando nafuu airtel kwa wewe mfanyabiashara
1 Reactions
0 Replies
897 Views
Kuchagua eneo zuri kwa ajili ya uwekezaji wa majengo ya kupangisha ni moja ya mambo muhimu sana kwa mafanikio ya muda mrefu ya uwekezaji huo. Eneo linaathiri moja kwa moja uwezo wa kupata...
1 Reactions
0 Replies
544 Views
Dell Xps 13 9365 Convertible laptop Super Slim x360 13'3 inches sceeen Touch screen 7th generation Intel i7processor Ram 8 gb Ssd 256 gb Backlight keyboard Fully hd screen FHS, IPS Fingerprint...
0 Reactions
4 Replies
621 Views
Habarini kinandugu,Mimi ni mwanamama aged 33 Niko dar,Niko na dip ya procurement& supply.Natafuta tender ya kusupply beef fillet,steak,Nundu na Samaki sato,sangara local vegetables na fruits...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Wadau mimi nina supply fresh meet(beef) kutoka kampuni ya ranchi za taifa (NARCO) nyama yenye ubora na usalama kwa walaji kwani inaandaliwa katika mazingira mazuri kuanzia ufugaji hadi uchinjwaji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam wana body Kupitia Uzi huu nitaleta gari za bei zifuatazo √bei ya chini (5m below) √ bei ya kipato cha kati (5m above) √ bei ya kipato cha juu (10m+) Ukipendezwa na aina ya gari uliyoina...
19 Reactions
741 Replies
125K Views
Habari Nahitaji wafanyakazi wa bakery Eneo: Kibaha Kwa maelezo zaidi piga : +255 762 866 652
2 Reactions
0 Replies
490 Views
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI BEI NI MILION 13 TU ■■UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 20 ■■UMEME NA MAJI YAPO SITE ■■VIMEPIMWA NA KURASIMISHWA KWA MAKAZI BORA 0675 065906
1 Reactions
0 Replies
498 Views
Wewe ni mpenzi kufuatilia series/movie usiogope idadi nicheki whatsapp nitajie series unazohitaji usiogope idadi ziwe series 20 na zaidi ntakuletea kwa gharama ya 5000 tu ( Dar es salaam )...
0 Reactions
6 Replies
525 Views
Nakodisha Frame 3 za biashara Katoro-Geita.Zipo Barabara ya CCM (Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro),zinatazamq Rami.Ukubwa:Mbili zina Ujazo wa Meta za Mraba 26.5 na Moja ina Ujazo wa meta za Mraba...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
KARIBUNI KWA NGUO NA VIATU VIZURI KUTOKA INDIA,UTURUKI,HONG KONG NA VIETNAM NAPATIKANA UPANGA DAR ES SALAAM 0678096545 Delivery ya viatu kwa Dar es salaam ni bure
6 Reactions
73 Replies
4K Views
Bila kupoteza muda nyakati ndizo hzi kuingia kwenye kilimo tena, karbuni sana kwa mahitaji ya sprayer pump 16L na ndgo 2L, spare complete (chuma, bati na plastic), nozzle na rubber za ina...
0 Reactions
4 Replies
431 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…