Jumuiya ya Watanzania Jimbo la Michigan wanayofuraha kumkaribisha Balozi wa Umoja wa Afrika kwa Marekani Mheshimiwa Amina Salum Ali kwa chakula cha jioni.
SIKU: Jumanne tarehe 19 Mei, 2009
Saa...
Nauza Shamba 7 acres, ina nyumba ya vyumba vivili 2. Vyoo 2, bafu 2. Kisima Kirefu cha mita 50. Sim tank 2 za lita 10,000. Drip irrigation za ekari 10 + Mabanda ya kuku 1,000+. Vifaa vya kulishia...
Nauza simu aina ya huawei y330 imetumika mwezi mmoja na week mbili kwaiyo bado mpyaaa!! Na istoshe vituvyake vyote vipo kama vile charger,earphone na cover lake! So kama uko interested unaweza...
Kuku wa nyama waliotayari kuchinjwa na kula wanauzwa. Wanapatikana Temeke Dar es salaam. Bei ni sh.5,000 kwa kila kuku. Kuchinjiwa na usafiri buure kwa idadi ya kuku kuanzia 100.
Mayai ya kware...
1.Msakuzi kuna heka1,bei ya eneo lote ni 30mil,kukata ni makubaliano
2.Msumi pia kuna heka1,bei ya eneo lote ni 28mil,kukata ni makubaliano
Maeneo yapo sehemu nzuri,barabara zipo,umeme upo.
Habarini wakuu.
Nimesomea masuala ya Lugha ya Kiingereza na Kiswahili.
Na nina interest kubwa katika utangazaji wa redio na Tv.
Kwa anayefahamu utaratibu wa mtu kuweza kupata nafasi ya kujitolea...
Kuna wakati mtu anataka kununua mzigo wake wa kibiashara jijini Dar ili aende akauze dukani kwake nje ya Dar mfano Mwanza, Mbeya, Arusha n.k lakini kutokana na ufinyu wa nafasi hawezi kuja Dar...