Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Brand new S3 for sale.. used for 2 weeks.. 0784035159(whatsapp) for more info amd pictures
0 Reactions
3 Replies
860 Views
Nauza smartphone tecno n3 bei 60 tu no tatizo kabisa ina crank ndogo usiku hainekan mchana inaonekana kwa mbali.ukiweka protector hainekani0712505049
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu kama kunamtu anauza hyo model hapo juu plz anijulishe, nahitaji MPYA kabisa kwaajili ya kuandika thesis yangu.
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Brand New Giorgio Armani Aviator shades for sale:- Price is 500,000 Tshs Comes with original box, case, soft pocket and instruction manual. Call 0714881500. Location:- Dar es salaam. Whatsapp...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Habari wana JF, Nahitaji frem ya biashara maeneo yaliyochangamka. Bei isizidi 50,000/=. Kwa mwenye nayo tuwasiliane kwa 0652651853..
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Hizi ni PowerBank zinazoweza kuchajiwa kwa kutumia umeme au solar, unaiweka kwenye umeme tu kama unavyochaji simu, au pia unaweza kuiweka kwenye jua hata kwa dirishani tu inatosha kujichaji hadi...
0 Reactions
1 Replies
933 Views
1.JONWAY AIR COMPRESSOR Model:EBG80 Voltage/Frequency(V/HZ):220-240/50 Power:2.2kw(3HP) Air flow F.A.D:152L/min(5.4C.F.M) Speed(r.p.m):980 Tank:80L(21.1GAL) Max.Pressure:16 bar(240 psi) Packing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi asubuhi hii nilipost advert hapa kwamba nina king'amuzi cha kuuza (azam tv) king'amuzi na dish yake. Wengi mnauliza bei nitakiuza shilling laki moja na elfu kumi tu ila bargaining ipo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau ninauza line za uwakala wa mitandao ya TIGOPESA,MPESA na AIRTEL MONEY kwa anayehitaji.PIA kama kuna mtu ana interest ya kuendesha biashara hii inayoendelea pia tunaweza kuongea nikamwachia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina 4mil cash. Naitaji bajaji hata kama imetumika lkn sio sana. Nipo dsm
0 Reactions
3 Replies
655 Views
Kiwanja kipo 20*19 mbezi mwisho kuelekea njia panda ya makabe na tegeta A,kiwanja kipo maeneo ya tegeta A eneo ni nzur kuna barabara mpaka kwenye kiwanja pia njia ya umeme bei million 6 mazungumzo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni hp elitebook 2540p core i7 ram 4gb hdd 120gb up to 3hrs battery life webcame bluetooth nk ipo in good condition aliye tayari kuexchange na smartphone anicheki 0688206680 iwe in good condition...
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Anatafutwa mtu anayeweza kupanga nyumba iliopo mkabala na Idiva bar yenye vyumba vitatu Choo ndani Jiko Sebule kubwa Maji wakati wote Na uwanja na usalama mkubwa Bei 200000 kwa mwezi HAKUNA...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Gari linauzwa, lipo Dar es salaam na katika hali nzuri, ni TOYOTA SPACIO, Mwaka 1997, CC 1600, na Bei 5.5M, Kwa anaye hitaji maelezo zaidi tafadhali piga 0754 711 137.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta New laptop kwa TSHS 500,000/= Kama unayo Nicheck kwa namba 0719 252523
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hp eliteBook ,HDD 500GB, RAM 4GB, CORE i5 2.6Ghz, DVD RW, WEB CAMERA. Used lakini iko vizuri sana.Bei 420,000/= 0769 222882
0 Reactions
31 Replies
4K Views
nauzaa motorola moto g 1st gen 4.5inch 8gb run Android 5.0 lollipop 200k pungufu tuongee 0719908742
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Hdd 300 ram 2gb proc 1.5ghz bei 250k.0659626782
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Kwa anayefahamu mahali ninapoweza kununua kiasi hicho cha karatasi (80gsm) kwa bei nafuu anisaidie. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF, Natafuta kiwanja maeneo ya Mbweni, ukubwa wakiwanja kisipungue 50 x 50 na zaidi. Kwa anayeuza ani pm please
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…