Make
Subaru
Model
Forester
Car type
Sedan
Year
2007
Doors
5
Seats
5
Mileage
85,200
Engine size (cc)
2000
Transmission
Automatic
Fuel
Petrol
Color
Silver
Gari hili bado...
Habarini wadau,
Weekend ijayo natarajia kuwa Arusha.Naomba anaefahamu nyumba za wageni za bei nafuu na zaidi sana zenye usalama anijuze zilipo.
Nawasilisha.:typing:
actually ni kama siku tatu tu sijawahi fika kabisa nahitaji kwenda baada ya ramadhani na sikukuu kwa ujumla
hotel nzuri ipi ambayo naweza fanya booking online kama hakuna uhitaj wa booking...
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Dodoma. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.
Kwa...
Habari wakuu nipo Dar (Kimara) kwa mtu anaekodisha marine board naomba ani-pm
natarajia kumwaga zege kwa ajili ya slab wiki ijayo Mungu akijalia uzima.
Nyumba Inauzwa, magomeni mwembe chai wahi kabla haijanunuliwa
Price: TZS 600,000,000 ( Millioni mia sita ) Negotiable: Yes Nyumba Nzuri sana ina tiles na kila kitu, Ina Vyumba 8, jiko 2, Public...
Pc inauzwa kwa Tsh 370,000\
screet flat dell inch 18
1.99GHZ, 1.96GHZ of processor
2GB OF RAM
500GB
kwa mawasiliano wasiliana nami kwa simu no +255764361843
Ninahitaji samsung Galaxy s3, offer yangu ni tsh Laki mbili..... kwa mwenye nayo anaweza kuwasiliana naami na kunitumia pic za simu yake kwa whatsapp kisha tufanye biashara mapema. isiwe na tatizo...
Kwa anayeelewa ni wapi wanauza magari bora na ya bei nafuu kwa hapa Dar, naomba anielekeze tafadhali, namaanisha show room kubwa sio hao wa magari kumi au matano.
Asanteni..
Ninazo DVD za windows 8.1,Windows 7, Office 2015, Drivers Park, Program nyingi za,aina mbalimbali, bei yake ni Tsh, elfu 10 kwa dvd moja, karibu sana. Napatikana dsm kwa namba hizi, 0655 600 437...