Hii ni Ofa Maalumu itakayo kuwa inapatikana kila siku za Mwisho wa Juma(Wkend) tu.
Utaweza kumiliki/Kununua External HDD yako yenye ukubwa wa 1TB(1000GB) kwa Bei ya Kutupa ambayo hutaweza kuipata...
Vigezo:
-Namba ianzie na 'C',
-Iwe imetembea chini ya km 100,000
-Sina choice ya Make na Model lakini iwe na upana (ukubwa) wa kutosha
-Isiwe na hitilafu yoyote ya kiufundi
-CC zisizidi 2,000...
Nauza ipad mini mpya jamani
Storage ni 16gb
Model MD534LL
Version 6.0.1
Bei ni laki tano tu. Tunaweza ongea kidogo. Ni mpya ndani ya boksi lale na kila kitu chake.
Karibuni jamani
Habari wakuu,
Nahitaji gari aina ya mark ii grande(gx 100) iwe nzuri rangi original sio ya kupaka uswahilini na iwe haijawai kupata ajali na isiwe na mchubuko wowote.Au kama kuna aina nyingine...
1000sqm in size,located along street Road and in a well planned area.Suitable for Bar business or shops.All utility infrastructures available,three minutes drive from Bagamoyo Road.Unsurveyed but...
ipo kwenye hali nzuri rangi ya njano. bei ni 300K, nicheki kupitia no. 0717693927
Network
Technology GSM / HSPA / LTE
Expand ▼
Launch
Announced...
Jipatie simu aina ya star times pamoja na warranty ya miezi 13 !!! Ikizingua , Mteja atatengenezewa bure kabisa !!
Camera - 13 MP
Memory - 12 GB
Ram - 1 GB
Android kit kat ( 4.4 )
Screen - 5...
Tunatunga na kuandika vipindi vya Television na radio
Tayari tumekamilisha kazi za kutosha filamu,Tv program ,radio program na music
kama una miliki kampuni la video production/multimedia...
HP Envy TS m6-k125dx... Core i5 1.60ghz boosted to 2.30ghz... ram 8gb and hdd 750gb... TOUCH SCREEN... Full HD Screen Resolution... BackLight KeyBoard... 15" LED Display... Beats By Dre...
Nauza Microsoft XBOX ONE Mpya, Haijawahi kutumika, Ipo na kila kitu ilichokuja nacho.
Bei ni Tsh 650,000/= Mazungumzo yapo.
Kwa maelezo zaidi ni PM au Nipigie