Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu humu ndani? Kwa mara nyingine tena naleta tangazo juu ya vitabu vya Joram Kiango ambavyo vipo sokoni kwa sasa. Vitabu hivyo ni ROHO YA PAKA, NAJISIKIA KUUA TENA & ROHO YA PAKA. Vitabu...
8 Reactions
44 Replies
12K Views
Tigo 250 Voda 170 Airtel 130 Utapewa kwa majina yako for mor information check with me 0712191251
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nyumba ipo kigamboni Toangoma dsm mita 150 kutoka barabara ya lami. bei ni milioni 35 ila maelewano yapo ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kina masterroom ina sebule ina jiko ina dinning...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NYUMBA ZIPO ZA UBORA NA UKUBWA TOFAUTI ZINAUZWA MAENEO YA KIGAMBONI TOANGOMA. ZIPO ZENYE HATI MILIKI NA ZISIZO NA HATI. BEI YA NYUMBA INAANZIA MILIONI 35 NA KUENDELEA. NYUMBA AMBAZO ZIKO CHINI YA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
viwanja vyenye ukubwa wa mita za mraba 400 na kuendelea vinauzwa kigamboni toangoma kuanzia milioni nne na nusu na kuendelea. viwanja vipo katika mpangilio na gari inafika katika viwanja vyote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toangoma- kigamboni 1. Block 2, 1339 square meter, bei milioni 50, ila maelewano yapo – kina hati miliki 2. Block 1, 700 square meter, bei milioni 40, ila maelewano yapo-kina hati...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Bidhaa mpya! Ni dawa za kuku kuwakinga na kideli, dawa za ng'ombe, mbuzi, nguruwe nk. Kwaajili ya minyoo. Binadamu: Zipo dawa za meno, tumbo kujaa gesi, kunyonga, n.k. Dawa za fangasi na m-ba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wana jf niko dar nahitaji smart phone yoyote yenye uwezo kwa laki moja ikipatikana samsung itakuwa poa sana ninayo cash
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mwalimu mzuri wa mbwa nyumbani mwenye kujua naomba anifahamishe tafadhali. Arusha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Oyoo oyooo ni mwendo wa kubwagaa tu mpaka kieleweke IPhone 6+ 124gb used a month nakupa kwa 1.2m, comes with charger. Samsung s5 black kwa 650000 comes with charger Ni check 0652871546 Whatsapp...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau! Nina Tv ya Samsung,MODEL:UE46C6530UK imevunjika kioo. Tafadhali naomba kujuzwa ni wapi naweza pata kioo kingine na gharama za kubadilisha kwa ujumla. Thanx
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu tajwa iwe blackberry nokia series au yoyote ile fungua kabati lako uniuzie.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
We provide installation of electric fence and CCTV Cameras at the following areas,Residential Houses,Apartments,Godowns,Game Reserves,Mining AreasWe design,supply and install electric fence...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana jf niko dar nahitaji smart phone yoyote yenye uwezo kwa laki moja ikipatikana samsung itakuwa poa sana
1 Reactions
0 Replies
830 Views
Habarini wana jf... Mini massage vibrator hiki ni kifaa kinachokuwezesha kujifanyia massage popote ulipo na kwa muda uutakao kinatumia umeme na batery Massage (kukandwa) ni neno linalotokana na...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Gari inauzwa aina ya gx 110 million 7 Engine no 1gfe11000021, Air conditions ok, year of manufac 2001, airbag pase imebast radio ipo ila konecta hamna auto motor vehicle imeish 10.6.15 insurance...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Body
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahtaji raman ya nyumba kuanzia plan ya flor mpaka paa lenyew . iwe ya room3 vyumba viwe na ukubwa wa kutoshana pia na sebule pia kuwe na makabati vyumbani na chumba kidogo kabisa cha jiko...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Niko Arusha, ninahitaji Samsung Galaxy Note 1 kwa bajeti tajwa hapo juu. Iwe kwenye hali nzuri. Mawasiliano 0753985182
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jipatie htc one m7 kwa bei poa ya 370,000/= fixed simu mpya nichek apa 0718033066
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…