Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei 4.5milion viko sehemu nzuri sana umeme upo, maji ya Bomba yako, na vyote vinafikika kwa barabara
Piga #0713154547 kwa taarifa zaidi
Habari wanajamvi wa tekinolojia,
Bado nipo katika mtiririko wa kifaa ambacho nimeekiita AVB(Automatic Low Voltage Booster),ambacho kazi yake ni kusaidia kuongeza umeme katika maeneo...
Habari wanat JF
Napenda kuwataarifu kuwa nina blog ninauza ziko 4 na zote zina watembeleaji wa kutosha na pia nina akaunti ya matangazo ya bidvetiser ambayo ina dola $50 sawa na Tshs100,000...
Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei kuanzia 4.5milion pungufu mnaongea. Huduma muhimu zipo kama maji, umeme na barabara nzuri
Kwa taarifa zaidi piga #0713154547
Jumapili saa tisa alasiri tarehe 13. 09. 2015 club ya wazee ilala kutakuwa na mkutano wa wafugaji kuku mkoa wa DSM siku ya jumapili kujadili juu ya upandaji wa bei ya chakula cha kuku na madawa...
natafuta gari tajwa (NOAH LITEACE (Old model) au PROBOX VAN kwa bei kuanzia 8.5m mpaka 9.0m kulingana na ubora wa gari (haina dalali MUUZAJI ndio awe mmiliki wa gari). MAWASILIANO 0712212299.
Pata software zote, programs za simu za aina zote na za computer pamoja ushauri wa simu na komputer kwa gharama nafuu.. Ushauri ni bure kabisaa..
Follow me facebook "maedson mahonge" au call me...
Nina laki nne tu, naweza kupata lap top nzuri mpya kwa kiasi hicho? Je, ni aina gani ya lap top ambayo haina usumbufu unanishauri niitafute? Naomba ushauri wako.
nyumba ipo mbagala kwa mmwera, ni kilomita 1 kutoka st. Anthony's secondary school ina vyumba 4, sitting room na dining, parking, na eneo la kutosha kujenga vyumba vya uani. Inahitaji matengenezo...
Je unamtaji lakini hujui ufanye biashara gani, na ujui pakuanzia? je unabiashara lakini hailudishi faida mpaka inapelekea unaona kama chuma ulete wanachuma mali zako? je umemaliza chuo na ujapata...
Mbezi Luguruni situated along Morogoro road.Well organized place in Dar es salaam.Residential plots measured 1120square meter each and surveyed and have voucher for payments.That means Title...
Habari wanajamii,
Nlikua naomba msaada wenu kujua ni sehemu gani naweza kupata suti either black or dark blue kwa bei nzuri,pia nahitaji msaada wa kujua ni wapi naweza pata mashati ya kuvalia...