nauza simu aina ya tecno r7......internal memory 16gb, secondary camera 13mp, ram ni 2gb. imetumika miezi (7) michache...ina kila kitu chake kama ilivyonunuliwa na box lake lipo pia. mwenye...
:A S-omg:Ni sisi masindegroup blog creater and designer wasiliana nasi kwa namba 0766017907 au nitumie private msg tupo kihonda magorofani morogoro tuweze kukutegenezea blog yenye ubora hili uweze...
Habari zenu wadau,
Nataka kununua gari kati ya hayo niliyotaja hapo juu ila kwa sababu ndio mara yangu ya kwanza kuwa na gari naomba mnisaidie which is the best among the two cars.
Budget...
Habar zenu wadau?
Km kichwa cha tangazo, nahitaj laptop MPYA yenye sifa zisizopungua zifuatazo;
ram 4gb>
hdd 500>
core i5
web cam
screen 15">
brand Dell
NB:IT MUST BE NEW(SILD).
Kama...
Elewa kichwa cha habari hapo juu...nahitaji Mirunda kwa ajili ya kukodisha ili nifanyie ujenzi hapa Sinza kituo kipya cha mabasi Sim2000.
kwa mawasiliano kamili nicheki kwenye namba 0783666001
Suti!!!! suti!!!! suti!!!! suti!!!! suti!!!! suti!!!!,
Kwa mara nyingine tena, Lorenzo Laigwannan fashion classics, wasambazaji wako wa jumla na rejareja wa suti kali za kiume kwa ajili ya...
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs
2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs
3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za...
Kiwanja Chenye ukubwa wa km za mita za Mraba 1609 kilichopo Eneo la Lilungu Barabara ya Airport Mtwara kinauzwa.
Kwa waliopo Mtwara wawasiliane na Bwana Kevin Mnali wa Ligula Hospitali simu...
Hallow, naombeni unisaidie kuna zile machine za kusagia karanga zilizokaangwa, kwa watu wa Mwanza wanazifahamu sana.
Napenda nijulishwe bei yake na zinapopatikana. Mie nipo Mwanza. Nisaidieni...
Chuo cha Kampala International University kilichopo hapa Dar es salaam-Gongolamboto kinapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa watu wote walio maliza kidato cha nne, kidato cha sita na wale wote...