Ni samsung Galaxy pocket gt 5301
Ni used ila iko katika hali nzuri
Haina tatizo lolote
Chaji masaa 14 data ikiwa ON
Mitandao yote ya kijamii unapata...
Tovuti/website itakua na vitu vifuatavyo;
Jina na usajili bure kwa mwaka mzima, katika mfumo wa .com, .co.tz, .org, .or, .net, .ac.tz n.k kulingana na aina ya shughuli/taasisi yako (Free domain...
Ni mikubwa yapata umri wa miaka 20,ukubwa wa shamba ni heka 4 mbaka 5,bei ya mti ni elfu 40 adi 50,inategemeana na ukubwa,eneo ni iringa wilaya ya mufindi kata ya kipanga,kwa mawasiliono 0712237599
SALEE SALEE
T SHIRTS MPYAA TOKA TURKEY BY HUSSEIN ABI(MTURUKI)
Moja tshs 15000/= tu
Na jumla 13000/= tu kuanzia tshirts kumi
Ni inbox ujipatie mzigo wako now
0712552483...
Wandugu
Nauza Nyumba ambayo haijakamilika pichani
Ipo Madale,Dar es Salaam
Eneo la Kiwanja ni Square Meter 1103,ina Vyumba 4 vinavyojitegemea kwa Bafu na Vyoo vya Ndani,Study Room,VIP...
Tuletee taarifa za huduma yako ukiainisha JINA, PICHA, MAHALI ILIPO/LOCATION (Mkoa, wilaya na mtaa, pia waweza kutuma makisio ya umbali kutoka eneo lolote maarufu mfano stendi ya mabasi, stesheni...
Wi-fi router ya huawei inauzwa elfu 95,000 inaingia line zote. Inakaa na chaji masaa 6. Inaconnect pc 5. Ipo katika hali nzuri na inafanya kazi. Napatikana dar kimara kologwe
0754078015
Tunauza compressors kubwa na ndogo kutoka Japan kwa matumizi mbali mbali kama kujaza upepo kwenye tairi kupuliza rangi kusukuma oxygen kwenye migodi na kusafishia madini kwa maelezo zaidi piga...
Hotbelt season 2
Pata mikanda ya kupunguza na kuondoa kabisa kitambi kwa asilimia 97.
Imetengenezwa kwa latex ambayo inafanya usweat hivo kubutn mafuta. Material yake ni kama nguo ivo unaweza...
Ni vile vilivyobora kabisa na salama, vilivyosajiliwa na kuruhusiwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania.
Nitakuletea chochote na sehemu yoyote utakayotaka, Dar es salaam au nje ya Dar es...