KWANZA
1. acha mchepuko (a relationship is about 2ppl not the whole world)
2. acha kujichua (you damage senstive tissues)
3. acha mirungi na pombe kali
4. kula chakula bora hasa ugali wa dona...
Kutana na consultants na vipodozi bora ili uweze
1. Kufanya ngozi iwe laini na inayong'aa
2. Kuondoa chunusi
3. Kuondoa madoa na makovu mwilini
4. Kuondoa harufu mbaya mdomoni, makwapani na sehemu...
Simu Aina ya Tecno Model yake C8 inauzwa. Ni model mpya ya Tecno yenye specifications sawa kabisa na smartphone yoyote kali. Bei sh. 270,000. Ina wiki moja toka nimenunua. Dukani inauzwa sh...
nauza htc one s
specifications
internal-16gb
ram-1gb
camera-8mp
ipo kwenye good condition
bei-230,000 {230k}
mwenye huitaji anicheki tufanye biashara
0659116111
Nna bajaj mbili mbovu zimelala bila kutumika kwa muda mrefu. Zipo maeneo ya Tabata Dar es salaam
Anayehitaji kama skrepa au vyovyote vile ani PM nimwelekeze zilipo akachukue. Ni bure kabisa...
simu ni Samsung ch@t GT E2222
Ipo katika hali nzuri na ni original
.
Ina apps kama facebook, Gtalk, yahoo .Operamini. live windows massanger n.k
Bei ni Elfu 28 tu. Simu iko vizuri na haina...
Habari wana jamvi, kwa wale wanaohitaji kuhost tovuti zao kwa bei nafuu na utendaji kazi bora wa tovuti zao basi Yatosha - Professional Hosting itawafaa
500MB Dics space
60 GB Bandwidth...
Nauza tecno h6 iko vzur tu sana! Internal memory 8GB Ila iko na Crack kwenye screen pia na kwenye camera ya nyuma kidogo, ila inafanya kazi kama kwawaida pia Ina piga pictures vzur camera zote...