Tecno c8 inauzwa bei ya kutupa

Tecno c8 inauzwa bei ya kutupa

superstar1

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
222
Reaction score
176
Simu Aina ya Tecno Model yake C8 inauzwa. Ni model mpya ya Tecno yenye specifications sawa kabisa na smartphone yoyote kali. Bei sh. 270,000. Ina wiki moja toka nimenunua. Dukani inauzwa sh 350,000. Mawasiliano 0783540552.
 
nipigie kwa 0713228915 tuongee biashara,kariakoo dukani kwa 270,000 unapata,hope hatutashindwana
 
Oya hiyo simu inatofauti gani na iPhone 4gs
 
weka kapicha tafaadhali,nina 2lk kwa ajili ya simu kama tutaafikiana,thanks.
 
Nimenunua aina hiyo ya tecno ni simu nzuri sana.
Atakeinunua hatajuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom