Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau, Nauza laptop yangu aina ya Hp pavillon M6 corei7, ina 4gb ram, hard disk 750gb Tsh 750,000 Call 0675531833
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau Habari Nauza gari langu pichani. Ni Canter Tonne 3 Bei ni nafuu sana Mhitaji serious tuwasiliane kwa Namba 0654 998326 Karibuni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
habari wakuu,husika na kichwa cha habari hapo juu..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninahitaji mashine nzuri ya kutengeneza sausages, kwa yeyote anayejua naomba anijulishe.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
For Sale Prado Short Cheses, Year1998,Oil Type Diseal, Automatic,2600 CC ,Colour Red,127 Kml,Number D Tel ; 0764033082
0 Reactions
19 Replies
2K Views
laptop hp compaq makbook inauzwa kwa bei rahisi kabisa. ina mwaka mmoja na nusu, screen nyeusi ni window 8. haina tatizo lolote kwa maelezo zaidi tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Mwongozo Kigamboni. Kiwanja hiki kina hati na kimepimwa na kiko tambarare tayari kabisa kwa ujenzi. Kina eneo la square metre 700. Kipo mahali penye usalama wa kutosha na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo dar es salaam. Kichwa cha scania tu bila trailer nakitafuta kwa matumizi yangu. Horsepower 113 au zaidi. Namba yoyote A,B,C nitajie bei from their we negotiate. Kiwe kwenye hali nzuri. Call...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza laptop yangu Macbook Air 13. Slightly used but in very good condition. Bei 1.5m. Serious buyers please PM. thanks
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TV flat screen inahitajika,brand name yeyote budget 450,000 tshs
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nahitaji Toyota Wish ama Isis haraka iwezekanavyo kwa pesa za Tanzania zisizozidi million 8. Tuwasiliane kwa no +255714478797.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, ninauza pharmacy management software kwa shillingi 1,500,000/= kwa atakayehitaji aniibox. Karibuni sana
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Habari za humu wakuu., natumai ni kwema na tunazidi kusongesha mbele na gurudumu la maendeleo ya kujenga taifa letu. La msingi: Mimi napataikana mwanza ninauza pikipiki yangu aina ya fekon ina...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nahitaji mkopo wa haraka wa 250,000 Tshs nitarudisha na riba baada ya wiki 2. Dhamana ni simu Samsung galaxy s5 yenye thamani ya 600,000 Tshs.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nauza laptop used aina zote kwa bei nafuu kabisa,kuanzia tsh 250000 na kuendelea,piga 0675531833 sasa ujipatie laptop huipendao
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Mambo vipi wapendwa kuna TV BRAVIA ya Sony ipo ndani ya warranty, ni flat new model inch 32 imetumika kwa muda mfupi sana. Haina mikwaruzo ya aina yoyote ile,infact ipo kwenye hali nzuri sana, ipo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninauza HUAWEI Y530,BEI 150,000/= . Picha nitaileta baadae. Wasiliana na 0713 689665.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huawei y330 inataka 85,000 haina tatizo lolote bado mpyaa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari? nashida na simu ya line mbili aina ya Tecno, na simu ya line moja Samsung mpya kabisa Galaxy tab S.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza kiwanja maeneo ya Kange Tanga nyuma ya Ekenforde University umbali wa mita 800 toka chuo kilipo kipo kwenye mapimo,ukubwa ni 30 kwa 20 .Bei kinaanzia 7 million. Maelewano yapo kwa...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…