KIWANJA KINA UKUBWA WA 20*20
KIKO MBEZI KWA BEDUI,
KARIBIA NA MPAKANI A' NJIA YA KUELEKEA GOBA
BEI NI MIL 6
KIWANJA KINA NYALAKA ZOTE
KWA MAWASILIANO
0714309012
Asalaam Aleykum!
Wakuu kwanza kabisa napenda kuwafahamisha kwamba kwasasa Chalinze imeshakuwa wilaya, ujenzi wa makao makuu ya wilaya umeshaanza pamoja na stendi kubwa ya magari ya abiria ambayo...
Eneo linauzwa.
Ni robo hekari.
Pembeni kumejengwa vyumba viwili vya kulala na sebule na choo...
Lipo Chanika Nyeburu.
Bei ni million 30.
Halina udalali ...
0620593714
Viwanja vipo kibaha kwa mfipa,karibia na chuo kipya Cha uongozi,vimebaki viwili kila kiwanja kina square meter 400.
Bei kwa kila kimoja milioni 4 na nusu.
Umbali km 1 na nusu toka morogoro road...
Karibu Katika Mradi Mpya wa Viwanja Maeneo Ya Mvuti Km4 Kutoka Chanika Kwenda Mbagala Mradi Upo Mt 350 Kutoka Barabara Kubwa Ya LAMI
Bei Ni Tsh, 7000/= Kwa Mita 1 Ya Mraba
Na Vimepimwa Kuanzia...
Shamba linauzwa miono ,mkoa wa pwani,zipo eka Mia,Kila eka moja laki mbili na nusu,zipo pembeni ya mto wenye maji muda wote,linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji na Cha msimu,mazao yanakubali...
Hakuna uwekezaji kama kuzika pesa ardhini, kuna SHAMBA kubwa la ekari 20 lina mikirosho tupu na mikubwa linauzwa kwa mill 45, maongezi yapo karibu Sana kwenye green minerals (karosho).
Sent from...
Kiwanja kinauzwa mbagala rangi Tatu umbali wa mita 200 tokea Kilwa road. Kina sqm 221.Kina Leseni ya makazi(Hati za Manispaa).Eneo Kuzunguka limejengwa.
Nicheki chap kwa 0677089280.
🌲🌴 MBAGALA CHAMAZI MBANDE, NEW PROJECT NEW SITE
🌲🌴 RESIDENTIAL PROPERTY
✅ NO DOWN PAYMENT.
✅ NO RESIDENTIAL FEE.
✅ SITE VISITING NI KILA SIKU
👌 GOOD FOR RETIREMENT OR BAKASYUNAN.
✅ ACCESSIBLE...
Shamba lipo Dakika 10 kutoka Barabara kuu linafikika kwa Gari na Miguu
Lipo opposite na Serikali za Mitaa za Fukayosi.
Huduma za kijamii zipo
Linafaa kwa Kilimo na Makazi.
Bei ni 1,500,000...
Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.
Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15.
Document zote za...
Habari, Nauza kiwanja Cheney hati miliki kipo kibaha picha ya ndege km 2 kutoka barabara kuu na kiwanja kipo barabarani kabisa . Ukubwa 1026 sqm, bei 12,000/= per sqm na huduma za jamii zote zipo...
Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai .
Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na...
Habari wakuu,
Mkoa wa Tanga, wilaya ya mkinga karibu kabisa na barabara kuu ya kwenda Mombasa Kenya kupitia horohoro boder kuna beach plots zinauzwa kwa bei rahisi tu. Viwanja hivi vinafaa kwa...
[emoji2769]Ngazi Ya Kupanda Kiuchumi Ipo Kigamboni
[emoji2769]Hakikaa Hata Wewe Unaweza 143000 TU Kila Mwezi.
[emoji2769]Kamwe Usiruhusu Mazingira Yanayokuzunguka Kuzuia Ukuwaji Wako
[emoji2769]...
Kiwanja kinauzwa Tegeta A. Square meter 400. Bei ni shs 15m. Kuna matofali mengi tu kama bonasi. PM au email tajirika@gmail.com. Mhusika mimi kwa hiyo hakuna udalali.
Kiwanja Fumagila Kishili Jijini Mwanza
Bei: Laki 6 tu punguzo hakuna
Size: hatua 18 kwa 16 za miguu
Mawasiliano: 0713096076
Kiko karibu na barabara kuu ya Kishili-Nyanama-Fumagila-Bujingwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.