Habari wa jf katika maeneo ya Gezaulole kigamboni tuna viwanja vingi ambavyo tunauza kwa bei rahisi ya millioni 5 na kuendelea kwa kutegemea na ukubwa wa viwanja hivyo mnakaribishwa kwa...
Natafuta chumba cha kupanda kiwe kikubwa au chumba na sebule na choo ya kujitegemea maeneo ya Mpakani, Mawasiliano, na ustawi wa Jamii .
Yeyote mwenye namba za madalali tafadhali msaada.
Tunatoa huduma zifuatazo; - Tuition kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita - kufundisha QT na wanafunzi wanaorudia mitihani - kufundisha wanafunzi wanaojiandaa kuingia kidato cha tano...
Simu aina ya Blackberry bold 9900 inauzwa ikiwa na vifaa vyake vyote(kasoro boksi).
Inauzwa ikiwa na charger,headphones,battery kit(kifaa chake cha kuchajia battery) na CD zake.
Bei ni 230,000...
Shamba lipo umbali wa KM 15 kutoka barabara ya Dsm - Iringa na pia lipo barabarani katika barabara ya Mikumi - Kilosa katika kijiji cha Chikoga
Ukubwa wa Shamba ni Ekari 45
Shamba lina...
Habari za kazi humu ndani,
Nategemea kufanya harusi muda sio mrefu, nipo njombe nahitaji vitu vya harusi kama shella,Pete,viatu,. Nauliza kwa Njombe wapi wanaazimisha au wanauza, maana...
Maeneo ni Mwenge, Sinza, Tank bovu, Goig, Africana, Tegeta au eneo lolote ambalo ni rahisi kupata gari za kwenda Posta/Kariakoo.
Bajeti ni Tshs 100,000 hadi Tshs 150,000. Kiwe sehemu nzuri pia...
sifa zake ni kama ifuatavyo
Toyota land cruiser prado
Engine 1khz
c.c 2800
transmission manual
Fuel diesel
Passengers 7
Plate no T.477 AUD
mille 176000
Manufacture 1998
KWA MAWASILIANO PIGA...