Mkuu hapo utakuwa unambip sulle kova
Kwa sasa kubeba contena kwenye semitrailer ni hatari.
Mkuu umenivunja mbavu sana.Kwa sasa kubeba contena kwenye semitrailer ni hatari.
Kaka Utafungwa, wenzio wanatafuta pa kuyaficha utaletewa hata kumi bure kabisa.Natafuta contena la Kununua kwa mtu nipo Mwz. Kontena na Futi 20 mwenye nalo anayeweza niuzia anipm.
Asante