Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Hallo
Attachments
Last edited:
Nyumba za kupanga 4 in 1, zinapatikana Maeneo ya Kipunguni.
Nyumba nne kwa pamoja ndani ya Fence. Zinafaa mtu mmoja mmoja mwenye familia au wafanyakazi/kampuni zinazoendesha shughuli zao Pugu Rd/Ilala/Tabata/Kinyerezi/Kitunda/Vingunguti na hata Gongo la Mboto.
Main Features:
Ample Parking Space for 4Cars/Maji/Separate LUKU/Well Fenced/2Bedrooms/Kitchen/Public toilet/Verandah and a Big living room.
NB (i): Kama unatafuta nyumba kwa ajili ya January, njoo ukague, ulipie kabla ya Chrismas, kisha upate Bonus ya (Grace Period) ya One Month free.
NB (ii): Nyumba ni Mpya, hazijatumika. Ziko kwenye prime residential Area.
Rent fee p/m = 370,000/- X 12= Annual Fee APARTMENT.
LOCATION: Behind Aviation House Banana(2.6kms from Aviation House)
14.7kms from City Centre Clock Tower.
Contact: 0715/0755-240140
View attachment 310255
View attachment 310256
View attachment 310257
View attachment 310258