Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari! Nauza beach plot ambavyo viwanja vipo Kigamboni Buyuni idadi ya viwanja ni 10 na vyote vinaukubwa tofauti tofauti vinauzwa vyote kwa pamoja kwa garama ya shilingi 250ml kwa maelezo zaidi...
2 Reactions
0 Replies
325 Views
Karibu Cus Leather Shoes wauzaji na watengenezaji wa viatu imara vya shule kwa 35,000 tu kuanzia size 18-44. Ukihitaji delivery kwa Dsm ni sh 5000. Tunapatikana Segerea kwa bibi kwa namba...
1 Reactions
1 Replies
891 Views
PRICE 208.000.000 BEFORE VAT KOMATSU PC360-7 FOREIGN USED WITH GOOD CONDITION 9000 WORKING HOURS LOCATION TEGETA FOR MORE INFORMATION 0768 432 891
1 Reactions
0 Replies
273 Views
HP MIN LAPTOP 300,000/= TU INa RAM 2 GB HDD 160 SCREEN SIZE 10.1 Refuerbished Ina Kaa na charge Masaa 10 Call Me 0716889489
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Mwenye 1.turubai za kichina 15ft kwa 18ft 2.Simpo za kufuta za kinadada 33-36 na 37-42 tuwasiliane tafadhali,bei ya chimbo. 0744223213
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Nahitaji mifuko ya waraka robo kilo, nusu kilo, kilo moja na kilo mbili bei ya jumla kwa carton, anayeuza tafadhali tuwasiliane WhatsApp 0744223213.
0 Reactions
14 Replies
844 Views
• Ipo Kibamba Mwisho • Ukubwa wa eneo ni ekari 4 • Ina hati miliki • Imesajiliwa • Inauzwa TZS bilioni 1.2 . ✓ darasa 1-7 ✓ inatoa huduma ✓ ni ya kutwa ✓ ina maabara na jengo la ofisi ✓ ina...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Tofali za Mwamba ni imara na mara 5 zaidi ya tofali za kawaida zinastahimili magadi na seh korofi kama kwenye maji udongo unaotitia na zinaweza kujengea bila kupiga plasta kwa nje hivyo kuepusha...
1 Reactions
6 Replies
693 Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwa miaka yoyote ambayo ulikaa shuleni, ulifundishwa mambo mengi sana. Lakini kuna elimu moja muhimu sana ambayo hukufundishwa na ndiyo inayokutesa mpaka leo. Ulifundishwa...
11 Reactions
124 Replies
4K Views
pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi, Tunapatikana mbezi beach...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari ndugu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye gazeti la HABARI LEO la Leo tarehe 04/09/2024 anisaidie jambo. Nimepoteza vyeti vyangu vyoye vya elimu hivyo ilinipasa kuandaa tangazo kwenye...
2 Reactions
6 Replies
631 Views
Habari viongozi nimekwama nauza RAV4 iyo hapo bei ni million12 haina udalali ni moja kwa moja tuwasiliane kwa 0699361938 ipo tabata Dar es Salaam
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Wakuu, nipo mjini Mtwara. Nahitaji nipate vitu vifuatavyo. Pete za ndoa Pete za uchumba Mkufu Hereni na brcelet Vyote hivyo viwe English Gold materials. Naomba kufahamishwa maduka gani niende...
2 Reactions
21 Replies
907 Views
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA _______ MAHALI-MICHESE BLOCK ZF _______ UMBALI TOKA TOWN-6KM TU ________ UKUBWA-479SQM __________ BEI 12M -DOCUMENTS ZAKE ZA UMILIKI ZIMENYOOKA 0622111186...
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Misumeno na yenye ala inauzwa. Ni mikali na imara sana. Inafaa sana kwa shughuli za nyumbani,kambini,ufundi. Inafaa pia kukatia pemba za ng’ombe na mbuzi. Wahi ofa hii katika bei ya shilingi...
2 Reactions
1 Replies
308 Views
Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol Gas fuel ina gharama nafuu kwa...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Wanga na sukari ni vyakula ambavyo hutia mwili nguvu. Lakini ulaji wa vyakula aina hiyo unapaswa kuangaliwa kwa umakinj mana ni kiasi kidogo mno ambacho hutumika kuleta nguvu kwa mtu. Hivyo basi...
1 Reactions
9 Replies
753 Views
Model: SUBARU FORESTER 20XT EYESIGHT Km: 68,000 Year: 2013 Fuel: Petrol Price: 35.5M Direct message for more details
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…