Habarini kinandugu,Mimi ni mwanamama aged 33 Niko dar,Niko na dip ya procurement& supply.Natafuta tender ya kusupply beef fillet,steak,Nundu na Samaki sato,sangara local vegetables na fruits...
Wadau mimi nina supply fresh meet(beef) kutoka kampuni ya ranchi za taifa (NARCO) nyama yenye ubora na usalama kwa walaji kwani inaandaliwa katika mazingira mazuri kuanzia ufugaji hadi uchinjwaji...
Salaam wana body
Kupitia Uzi huu nitaleta gari za bei zifuatazo
√bei ya chini (5m below)
√ bei ya kipato cha kati (5m above)
√ bei ya kipato cha juu (10m+)
Ukipendezwa na aina ya gari uliyoina...
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI
BEI NI MILION 13 TU
■■UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 20
■■UMEME NA MAJI YAPO SITE
■■VIMEPIMWA NA KURASIMISHWA KWA MAKAZI BORA
0675 065906
Land Rover Discovery 3 Inauzwa..,
Gari haina tatizo lolote, Ipo katika hali nzuri sana.
Model ya 2005, Automatic transmission, Milleage ni 100,000 kms.
Kwa maelezo zaidi +255(0)694-206924 or...
Wewe ni mpenzi kufuatilia series/movie usiogope idadi nicheki whatsapp nitajie series unazohitaji usiogope idadi ziwe series 20 na zaidi ntakuletea kwa gharama ya 5000 tu ( Dar es salaam )...
Nakodisha Frame 3 za biashara Katoro-Geita.Zipo Barabara ya CCM (Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro),zinatazamq Rami.Ukubwa:Mbili zina Ujazo wa Meta za Mraba 26.5 na Moja ina Ujazo wa meta za Mraba...
KARIBUNI KWA NGUO NA VIATU VIZURI KUTOKA INDIA,UTURUKI,HONG KONG NA VIETNAM
NAPATIKANA UPANGA DAR ES SALAAM
0678096545
Delivery ya viatu kwa Dar es salaam ni bure
Bila kupoteza muda nyakati ndizo hzi kuingia kwenye kilimo tena, karbuni sana kwa mahitaji ya sprayer pump 16L na ndgo 2L, spare complete (chuma, bati na plastic), nozzle na rubber za ina...
Habari,
Nauza gari aina ya Rav4 ipo katika hali nzuri kwa bei ya Tsh. 7m na maongezi yapo.
Mawasiliano ya simu ni 0713 227 823 na 0756 844 197
Karibuni.
Bila kupoteza muda mimi ni mkulima napambana kujikwamua kimaisha, ingawa sisi wakulima tunadharaulika sana ila tukazeni tu ipo sku tutaheshimika.
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...
RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303
Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe.
Mavuno mengi magunia 30 kwa eka.
Ni tamu kuchoma...
Tunauza Samaki aina ya Sato kwa Bei ya TSH 9,000 tu kwa kilo moja
Kwenye kilo moja unapata samaki 4 - 6 wenye uzito wa 250g - 150g
Samaki wetu ni wakufugwa, wanafugwa kitaalamu na aquaculture...
Habari!
Nauza beach plot ambavyo viwanja vipo Kigamboni Buyuni idadi ya viwanja ni 10 na vyote vinaukubwa tofauti tofauti vinauzwa vyote kwa pamoja kwa garama ya shilingi 250ml kwa maelezo zaidi...
Karibu Cus Leather Shoes wauzaji na watengenezaji wa viatu imara vya shule kwa 35,000 tu kuanzia size 18-44. Ukihitaji delivery kwa Dsm ni sh 5000.
Tunapatikana Segerea kwa bibi kwa namba...