Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu waheshimiwa! Tunatoa huduma mbali mbali za kidigitali ikiwemo kadi za mialiko kama vile za harusi, send off, michango, graduation, business cards, nk. Achana na yale mambo ya kupanda...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mods msifute hii thread yangu Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Gari ipo kwala Bei M 13 For more details Contact 0578804442
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Habari wanabodi. Kama kuna mtu anauza nyumba au kiwanja Dodoma Area D aweke hapa. Tafadhali useme ukubwa wa kiwanja na bei yake (useme kama ni nyumba au kiwanja tupu) Shukrani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Karibuni kisiwa cha mafia, kuwekeza kwenye utalii na uchumi wa buluu. Mafia inakua sana, kuwa sehemu ya ukuaji wake
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Router inatumia sim card zote Ipo Kiseke B Mwanza Bei: 70,000 0778002502
0 Reactions
2 Replies
377 Views
Habari za wakati huu wana JF, Nimekuwa kwenye biashara ya simu kwa muda mrefu, kuna simu nyingi sokoni zingine zikiwa used, refurb na mpya. Kwa simu za Iphone simu mpya huwa ni ile ya mwaka...
2 Reactions
7 Replies
909 Views
Habari wanajamvi Nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu wapi naweza kupata rennet kwaajili ya matumizi ya kutengenezea cheese (specifically aina ya mozzarella).. Katika pita pita zangu naona nyingi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ukubwa ni 4×6 Bei 65,000 Kipo Mbezibeach Tangibovu 0687614981
0 Reactions
1 Replies
426 Views
From Japan YOM 2007 1790cc Automatic Petrol 105,000 Kms Dar Es Salaam . 0717 650800
4 Reactions
76 Replies
30K Views
Leo nitawaelekeza lugha zinazotumika ili kulangua bidhaa hizi kama simu na accssessories zake yaani cover's,earphone nk. Wenye kuhitaji simu na makava ya simu protector yaani kiufupi accsessories...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, kimfaacho mtu chake. Nina hali mbaya kiuchumi aisee, nimeamua kuuza laptop yangu aina ya lenovo RAM 8 GB Storage 256 GB Bei ni 550,000/=maongezi kidogo yapo. Kwa mwenye kuihitaji anicheck...
1 Reactions
1 Replies
664 Views
Nuza redio yangu aina ya BOSS mali halali iko chamazi piga simu 0711427984
1 Reactions
0 Replies
393 Views
5BEDROOMS KUBWA NZURI KARIBU UJENGE NYUMBA YA NDOTO YAKO NASI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
3 Reactions
6 Replies
709 Views
Wakuu msaada wenu wapi ntapata au nimakampuni Gani wanaouza alcond original zina
0 Reactions
3 Replies
426 Views
Bei ni 230k nipo dar Problem ni hii nilinunua mwezi wa kwanza mwaka huu refub, ishu ni inapassword kwenye eufi sijui ni bios (ambayo siijui na niliponunulia warranty ni miez sita) Ram 8GB, Ssd...
2 Reactions
6 Replies
570 Views
WAJASIRIAMALI hongereni kwa kuufikia mwaka 2021 mkiendelea na mapambano kama ni miongoni unatafuta mashine au taarifa zake karibu tupo tutakusaidia Jorina store lolote zaidi call/sms/whatsapp...
8 Reactions
182 Replies
26K Views
Nauza drill full box mpya(Ina bit tano na vichwa viwili) Inatoboa zege,chuma na mbao Ina sehemu ya nyundo,inazunguruka pia na sehemu zilizoungana zoye hizo Zipo pcs 8 Bei 180,000 Nipo temeke Dar...
0 Reactions
3 Replies
484 Views
Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
613 Views
Habari ya mchana kama Kuna yoyote Humu anauza laptop ikiwa clean. Condition itakuwa vyema Brand iwe kati ya hizi HP, dell, Asus iwe card ya Nvdia Mx ndani Napatikana Ukonga karibuni Dm
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…