Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Plot Available For Sale. Location: Kahama road, Masaki, Dar es Salaam. Size: Sqm 1200. Price: 1.5 Million USD, Fixed. Document: Ownership with Title Deed. Contacts: 0784 829565 0767 833345...
2 Reactions
7 Replies
722 Views
Hello guys, kuna yeyote mwenye taarifa yeyote juu ya sehemu naweza pata miwani ya kuogelea mtu mzima kwa hapa Dar.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381
2 Reactions
8 Replies
988 Views
Leo nawaletea fursa nyingine hii ya kutembelea Hidden game iliyopo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai, Kijiji cha Rundugai, tunatoa ofa kwa wakazi wa Kilimanjaro na Arusha kutembelea Chemka Hot...
1 Reactions
1 Replies
373 Views
Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro. Hapa huoendwa kutembelewa na watu...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Nauza kwa dharura kiwanja kilichopimwa chenye Title Deed chini ya Market Price. Plot ipo maeneo ya Kigamboni mita chache kutoka majengo ya mradi wa maghorofa ya NSSF. Ukubwa wa hiyo plot ni mita...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu nauza kiwanja chenye hati ( SURVEYED PLOT) MBWENI MPIJI (Block No 09,Plot 139) UKUBWA WA KIWANJA SQM 820 KUNA BANDA KUBWA LA VYUMBA VINNE LENYE WAPANGAJI BEI: 110M...
1 Reactions
6 Replies
676 Views
Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Rejea kichwa habari...Aina yoyote inayoweza njia ya vumbi...yenye milima. Shukran imetangulizwa.. Kimtindo mtindoe....mtindisho....mtindishhhdoooo.
3 Reactions
10 Replies
768 Views
Nauza king'amuzi cha Startimes kwa Tshs 20,000 tu. Kipo na Adapter yake ya umeme pamoja na remote controller yake. Kimetumika miezi mitano peke yake Nipo Mbezi Luis karibu na Stand ya mabasi ya...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Ninauza kiwanja cha sqm 4400 - 5000 kiko Lingato ambayo iko wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam mpakani na Lugwadu ambayo iko Mkuranga Pwani. Ni maeneo jirani na kwa Pinda Kigamboni. Bei maelewano...
1 Reactions
3 Replies
631 Views
Habari zenu waungwana... Naomba kuelekezwa mahali zinapouzwa mashine za kutengeneza mihuri, hapa Tanzania, vizuri zaidi kama ipo hapa hapa Dar es Salaam. Nawasilisha. Mfano wa hizi mashine
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari ya siku watu wa jf, Nauza Extrnall transcend gb 1000 (1TB) 100,000/-95,000/ niko MASASI MJINI MTWARA 062721875:
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Msaada tutani. Lodge nzuri karibu na Edema. Bei 25k hadi 30k
0 Reactions
1 Replies
681 Views
• Direction: Chang'ombe • Structure: manufacturing, storage, office block • Facilities: fenced, parking yard, water and industrial power • Ideal: Tea leaves processing & packaging; tea bags...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Tuna toa huduma za kufunga camera popote Tanzania na Zanzibar. Ofisini, Majumbani, Viwandani, Mashuleni, nk. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0773373839 Au fika ofisini kwetu Buza kanisani...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Habari Wadau, Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili. Tatizo...
2 Reactions
7 Replies
706 Views
Nauza Cowrie/simbi Kilo moja 10,000/= Dar es salaam(Kigamboni) Cowrie (simbi) for bracelet necklace and anklet for sale Namba: 0759448927
0 Reactions
16 Replies
1K Views
call: Price/bei 22,800,000 Hotline: 0695022051 SUBARU FORESTER FOR SALE (EER Cc 1990 Year 2012 mileages 51325km Automatic Adroid radio/bluetooth Full Ac Clean interior Forg lights New four tyres...
3 Reactions
12 Replies
884 Views
Tunauza picha nzuri kwa ajili ya kupamba ofisini na majumbani karibuni tuwaudumie Picha hizi chini zina ukubwa wa size A3 Bei ni sh 23000. Contact 017009453 DSM NA MIKOANI TUNATUMA
1 Reactions
1 Replies
458 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…