Wakuu nina pc yenye ram 2gb, intel core 2 duo 2.4ghz processor.
Nataka nikanunue video card ili nicheze game kama GTA 5.
Naomba ushauri maana mi sio mjuzi wa haya mambo, ninunue video card ipi?
Na...
Nyumba nzr mpya ya kisasa inauzwa IPO Tegeta Nyuma ya jengo la Kibo, mtaa mzuri sana na pamepimwa na hati IPO
Vyumba 3 vya kulala kimoja ni self na imezunguuzshiwa fence bei yake 155ml bei hii...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Natoa ushauri na msaada wa maswala ya Elimu juu ya Uandishi wa Proposal, Research na kazi zingine za kielimu kwa ngazi ya Certificate, Diploma, Degree na...
Tafadhali naomba kufahamu kama naweza kupata scanner au photocopier ya karatasi kubwa yenye upana kama wa mita 1 hivi yaani A1 katika mji wa Morogoro.
Thanks
Natarajia kuhama kikazi nje ya nchi na familia yangu kwa hiyo nauza gari langu kwa bei ya Million 25
Hizi ni details za gari..
Jeep 2010 limited edition.
Imported to Tanzania in 2012
Mileage...
Wana - JF,
Natafuta mchapaji wa mifuko ya mikate atakaye kubali kupokea order ndogo kwa wiki.
Wachapaji wengi wanataka order kubwa sana ndio wafanye kazi.
Mimi uwezo wangu ni mdogo, hivyo...
Capacity:64GB
Model number (on the back cover):
A1566
black front bezel
9.7-inch Retina display
Silver housing
Lightning connector
FaceTime HD and iSight cameras
Touch ID
Bei 685000
Weweza sema...
Wakuu hodi humu ndani..nauza kiwanja mbezi makabe ni kizuri tambarare ukubwa wake ni 20* 20 bei poa..
Samahani sina picha zake nilipoteza simu na picha zote lkn ni kizuri kama mtu anauhitaji wa...