Kma kichwa cha habar kilivyoeleza apo juu naitaji rain za iyo mitando tajwa apo juu kama utakua nayo na unaihuza niprivate massage
Note:- itakua vizur ukataja aina ya mtandao wa rain unayoiuza...
Jipatie vocha ya Buku ya Airtel yenye dakika 110 (dakika 10 mitandao yote) SmS bila kikomo. Inateneti 2GB.
-whatsapp bure
-twitter buree
-Na Facebook buree
Unatumiwa popote, mda wowote kwa...
Kwa wale wakazi wa mbezi ya kimara na sehemu nyingine kwa ujumla. Tunawatangazia course zifuatazo kwa bei nafuu sana.
Computer Course, QT(Elimu ya Secondary kwa miaka miwili), Tuition kwa masomo...
Vipo mbezi juu tankibovu viwili katika nyumba ya (L-shaped) ni vya nje si ndani.. vina tiles Safi Madirisha Mazur maji yapo na kwenye kiwanja kikubwa bila msongamano wa nyumba
Contact 0689315582
Rejea kichwa cha habar hapo juu.
Nyumba inapangishwa maeneo ya savei dk 5 kwa mguu tokea mliman city.
Ina vyumba viwili jiko toilet sebule pia ina tiles. Haina uzio. Maji ya bomba yapo masaa...
Wadau kwa yeyote atakayehitaji huduma ya fumigation au kama ana mtu,ofisi,hotel inayohitaji huduma ya fumigation tuwasiriane kwa simu namba 0685232010 tumfanyie hiyo kazi. Ni kazi tunayoimudu tena...
Kichwa cha habar cha jieleza, Natoa huduma ya kupimiwa mashamba au viwanja kwa maeneo ya mwanza pamoja na mikoa ya karbu. Ushaur juu ya ardhi utapata. Pima ardhi yako pata hati miliki yako...
Make : Toyota
Model : LITEACE NOAH
Mileage : 100,000 km
Engine size : 1990cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : Four wheels drive (4WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color ...
Habari.
Fremu inapangishwa ipo kijitonyama kisiwani karibu na Salma Kikwete Secondary kodi ni 100,000/= kwa mwez inatakiwa ya miezi 6. Fremu ipo barabarani(lami) kabisa inafaha hata kwa jiko...
Macbook Pro 13inc unibody.
Processor Intel core 2 duo 2.24Ghz
Ram 4gb
Hdd 500Gb
Nvidia GeForce video adapter.
13inch LCD screen
Pc is in Excellent condition and fully operational.
Price Tsh...
Habari gani wakuu? Wale wote wanaojishughulisha na biashara zilizotajwa hapo juu naomba tuwasiliane.
Mimi ni mjasiriamali nilie na base kubwa ya wateja wa biashara hizo na ningependa kuingia...
Mwangaza Personality, Career and Talents Discovery Service
Je unatamani na kupenda
· Kutengeneza kikosi kazi bora na chenye ufanisi mzuri?
· Kufahamu uwezo na udhaifu wako wa asilia?
·...
Chumba na Sebule Mjimwema Bei ni 80000 kwa mwezi, Kigamboni, ukishuka stendi ya mjimwema kabisa, atua 10 tuu kutoka kwenye lami !! Hatua 50 kutoka baharini,jirani na sunrise beach na south beach...