Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari, Nahitaji kujua gharama ya wire husika hapo juu na pia urefu na upana wa huo wire (Namaanisha zile wire za fensi zenye vibox vidogo vidogo ambavo vinazuia hata kuku kuingia). Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mnada mnada/Auction auction (Mwanza Mwanza Mwanza) 1-Nyumba ya kuishi nzuri sana iliyopo plot no 207 block ''JJ'' Nyakato Mwanza (Ijumaa 16.09.2016 kuanzia saa 3:00 asubuhi) 2.Nyumba ya...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
MNADA MNADA/AUCTION AUCTION (MWANZA MWANZA MWANZA) 1-NYUMBA YA KUISHI NZURI SANA ILIYOPO PLOT NO 207 BLOCK ''JJ'' NYAKATO MWANZA (IJUMAA 16.09.2016 KUANZIA SAA 3:00 ASUBUHI) 2.NYUMBA YA...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Nauza samsung galaxy tab 2 imetumika kidogo ,ipo ktk hali nzuri kabisa. Bei 250000..
0 Reactions
3 Replies
788 Views
Nauza bajaji iko safi kabisa, engine haijawahi kufunguliwa bei ni 3500000. Maongez yapo . Tuwasiliane 0765876609 au 0718135480
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Kutoka kwenye Blogs....... Tecno kutoa Phantom 6 Septemba hii, itathibitisha ubora wake? Sio suala jipya kwamba Bara la Afrika limegubikwa kwa kishindo na ulimwengu wa Smartphone (vijana wa mjini...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mzigo huo hapo WA sahani ukihitaji Nicheki kwenye namba 0656801596
1 Reactions
0 Replies
658 Views
Wakuu habari za jioni Naomba msaada wa kupata hiyo game wakuu hata kama ni 2014 siyo mbaya pia natanguliza shukrani.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari,karibu kwenye semina ya ujasiriamali jumamosi tareh 10 september itakayofanyika msasani morocco,tafadhali fika bila kukosa njoo na wageni 0776838310 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Kwa mawasilano juu ya mahitaji ya sabuni yangu nzuri na nzito yenye ubora ni PM bei nafuu na haichubui mikono,surppot yenu wakuu inahitajika ahsanteni sana
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Mambo vipi nataka kujua bei ya kioo cha xperia z1
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Nauza nyumba ipo Kimara mwisho nyumba imeishia linta bei 29,000,000 ina vyumba 3 kimojawapo ni master ina sebure kubwa sehemu ya chakura ,jiko ,vyoo 2 vya ndani na stoo. Eneo lina ukubwa wa meta...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Habar za asubui. Computer inauzwa mzigo mpya una Ram 2gb, hdd 160gb, dvd writter core2duo kioo inch 17 mawasiliano picha 0713844841
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Baiskeli hii inatumika na watoto kuanzia umri wa mwaka hadi miaka minne. Wakati wakiwa wadogo wanaendeshwa na mtu mzima ila baada wanaendesha wenyewe. Bei ni 60000. Imetumika ila ipo kwenye hali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
camera imetumika kidogo ila ipo kwenye hali nzuri, ina battery na charger.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyie........nahitaji chaja original ya "acer aspire 5720z".........kwa ambaye anabiashara mkononi nijibu hapa nitarudi baadae........madali acheni habari zenu.....maana kwa vya juu hamjambo...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari watz. samahan natafta mtu wa kuniuzia unga wa sembe na dona kwa bei ya jumla isiyozidi 21,000 kwa mfuko wa kilo 25. nanunua kuazia mifuko 10 mpaka 20. mtaji ukiongezeka nitanunua mpaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, natafuta chumba cha kupanga maeneo ya kariakoo, au upanga. Ni kwa ajili ya wanafunzi wanne wa chuo, Kama unafahamu nafasi iliyopo wazi naomba tufahamishane humu kwenye huu uzi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Shamba lipo wilaya ya kilosa unaweza lima mazao ya chakula au kulima miti.Heka moja laki5. mazungumzo yapo. Mawasikiano:0765505756
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…