Je,ungependa kutumia virutubisho asilia una vidonda vya tumbo, ungependa kuongeza cd4 kwa kutumia bidhaa asilia kabisaa na zilizothibitishwa kimataifa wtsp/call 0715 336718 kwa maelezo zaidi
Bidhaa halisi za ngozi kutoka kiwanda cha WOP (Woiso Original Leather Products) kinachozalisha bidhaa hasa viatu vya ngozi, kimepigiwa kura ya kuwa wazalishaji wa viatu bora vya ngozi duniani...
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Mwenye nayo/kujua yalipo kwa sasa /yanako patikana tafadhali sogea PM tufanye biashara
NB: Nilipewa taarifa ya kwamba naweza...
Hondohondo builder tume kuja kumpunguzia gharama mjenzi kwa kumkodishia mbao za linta na mkanda wa nyumba kwa ghara nafuu badala ya kununua mbao moja kwa gharama kubwa sisi tuta kukodishia kwa bei...
Shamba la heka 20 linauzwa Njombe,kando kabisa ya barabara ya Songea.Lina miti ya mbao aina ya Pines yenye miaka minne.Bei ni sh Milioni moja kwa heka.Lipo eneo zuri na linafikika kwa urahisi...
Waungwana natumaini hamjambo!
Nimefanikiwa kwenye zoezi la Rosella wine na Jumapili tumeionja na marafiki zangu imekkuwa safi sana. Changamoto nilokutana nayo ni kukosa chombo cha kupimia alcohol...
Kwa yoyote anayemfahamu mwanafunzi Wa form 6 aliyemaliza mwaka huu kuna hii fursa ya Scholarship ya Mo dewji foundation. Nimejaribu kupitia kwa haraka nimeona utalipiwa ada na meals and...
salaam wakuu,
kwa wale wafanyabiashara wa simu ,bonny electronics tunawaletea bei za jumla ambazo hutazipata kokote kule hapa mjini,
simu tulizonazo ni
samsung s2@155,000
samsung s3@245,000...