Habari
Hii juice dispenser inauzwa, ni yangu mimi ila imeshatumika mda flani ila inafanya kazi
Bei yake ni sh laki tano(500,000) ila inapungua kiasi
kwa mawasiliano nicheck hapa 0689154853...
TYPE- HP COMPAQ CQ60
PROCESOR- 2.0
RAM 4 GB
HDD 250 GB
DVD WRITER
SCREEN SIZE 15.6
COLOR- BLACK
PRICE- 350,000
WARRANTY ONE MOTH
FREE DELIVER TO YOU AT DAR ES SALAAM
OUT OF...
Za jioni, nyumba inauzwa ajentina manzese. Ina hitaji marekebisho kidogo sababu ilipata kuungua moto kidogo upande Mmoja.ina crumbs sita,frem na kibaraza mbele, jiko na store na vyoo bafu viwili...
Habari za asubuhi waungwana,
Hawa Kopa Mali foundation wanahusika na ukopeshaji wa vitu kama bajaji, pikipiki, gari Noah na pesa.
Mwenye kuwaelewa vizuri hawa jamaa tafadhali atujuze
On behalf of Association of Machine and equipments manufacturers Tanzania and Career Times LTD am pleased to inform you about our Conference , Taking the Long View on The Role of Local Machinery...
Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,
Bei: 5.0M.
Maongezi yapo.
Waweza Lipia kwa Awamu Mbili.
Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.
Pamepimwa...
Product Highlights
MODEL: 40H5003
Multi-System Compatible
Full HD 1920 x 1080 LED Panel
Clear Motion Rate 120 Technology
Wide Color Enhancer Plus
Samsung ConnectShare Movie
Soccer Sound and...
Natafuta fundi anaekata worktop/mable na kuweka sink,cooker(plates) jikoni. Worktop zipo nahitaji aje akate na kufanya fitting tu.
Fundi anaeweza hii kazi anipe aje pm.
Wapendwa wana JF naomba muongozo wenu.natafuta soko au wateja wa jumla wa nta na asali.nitafurahi zaidi nikipata wateja wanaoexport kwa ajili ya bei nzuri.kwa yeyote anayejua vizuri kuhusu hili...
Wakuu karibuni nauza mchele super kabisa kutoka mbeya kyela,kwa bei ya tsh 2000/kg na tsh 2200/kg nakuletea popote ndani ya dar kuanzia kg 50.
Napatikana msasani karibu na msaani shopping mall or...
Gari tajwa hapo juu inauzwa, sababu za kuuza ni mabadiliko tu ya mfumo wa maisha, haina shida yeyote..
Year of manufacturing: 2002
Imported: 2012
ODO: 110,000+ chache
Transmission: Manual...
(FENICHA ZOTE ZIMESHAUZWA)
Habari wana Jf
Fenicha zifuatazo za ofisi zinauzwa kwa bei rahisi kabisa. Zimetumika kwa muda usiozidi miezi 8 tu
1. Meza ya kichina (imported, executive table) kubwa ya...