Kwa mahitaji ya sabuni za savonor za vipande(kutoka burundi)
SIFA ZA SABUNI
1.ZINA POVU LA KUTOSHA
2.ZINAFAA KWA MAJI AINA ZOTE
3.ZINAFAA KWA KUFULIA
4.ZINAFAA KWA KUOGEA
Kwa muhitaji karibu...
KARIBU KENZO ACCESSORIES
Kenzo accessories ni wauzaji wa Accessories zote za simu, saa na Smartwatch tunauza jumla na rejreja
ACCESSORIES TUNAZO UZA
📌Smartwatch
📌Saa za kawaida
📌EarPods...
Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa.
HONLG Cc...
Baada ya kuchapisha nyuzi kadhaa za kuomba ushauri na changamoto ninazo pitia kipindi hiki cha njaanuary, nmepokea maoni na sasa sina budi kuweka mnadani kifaa changu cha kazi niweze kutatua...
Habari zenu wadau,hasa wakazi was Arusha. Naomba msaada mwenye kujua,natafuta single self budget 80k isizidi 100k maeneo ya moshono,nikipata nyumba ikiwa mpya,ina geti itakuwa POA zaidi
Umefuta faili kimakosa kwenye simu yako?. Unaweza kulipata faili ulilofuta kwa kutumia app ya 'Undelete'. Ipakue google playstore kwa kutafuta 'Undelete'
Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana
Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe...
Cheni Original Haipauki | Original Genosos necklace
Bidhaa hii ni kutoka Japan,
Original Genosos Necklace haipauki kwa gharama ya Elfu hansini tu.
Free delivery in Dar es salaam.
Mikoani...
2bhk Apartment For Sale At Upanga, Kilombero Street.
Features:
2 Bedrooms
Public washroom
Living room
Dining room
Kitchen
Parking space
Price: 70,000 USD. Negotiable.
Property Type is...
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu nauza shera.
Shera ni mpya nzuri ninaiuza bei iyo kwa sababu ya dharula iliyojitokeza ambayo inaitaitaji fedha kwa ambae atakuwa serious ni pm ili nikutumie...
Wakuu nauza gari yangu
Toyota vitz
Mwaka 2003/2004
Transmission automatic CVT
Engine cc 1298
Colour silver.
Ipo kwenye condition nzuri kabisa
Tairi bado zipo vizuri.
Air condition system ipo njema...
FEATURES.......
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE, JIKO
PUBLIC TOILET
NDANI YA FENSI
PAVING BLOCKS
NYUMBA MPYA
INAJITEGEMEA UMEME, MAJI.... Inbox pls only serious buyer
Pata ramani Kali kabisa na ujenzi wa nyumba za kisasa kabisa kutoka mbeya tuko ccm mbeya karibu na mikumi lodge
Piga 0689993661
Wasap 0766195115
Email: sirajimsilanga55@gmail.com