Wasalaam wakuu,
Natafuta kiwanja moro mjini cha kawaida tu nijenge kibanda cha kuishi maana nimechoka kupanga bajeti yangu ni 1.8-2mill.
Nitashukuru sana kama nitasaidiwa kupata hicho kiwanja
Karibu LEU Technologies. Tunafunga CCTV
cameras maeneo mbali mbali maofsini,
majumbani, hotelini, madukani supermarkets,
vituo vya mafuta n.k
GHARAMA ZETU:
(1). 4 CHANNEL ANALOG SYSTEM (system ya...
...Nauza Dish la Zuku na Decoder yake imetumika kwa muda wa miezi mitatu tu... Bei ni elfu hamsini (50,000).. Nipo Dar es salaam... Unaweza kunicheck kwa number 0713 590607.. shukrani
Dell inspiron inauzwa bei ya kutupwa laki mbili tu.maelewano yapo haina tatizo lolote lile
Ipo window 10pro activated
Webcam ,wifi. bluetooth
Proccesor inter( R) Atom CPU @1.60GHz
Ram 2gb
Hdd...
Jupatie Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20 X 20 maeneo ya Kidimu-Kibamba mpakani na Kibaha kwa bei nafuu ya sh. 2m.
Barabara zipo hadi viwanjani.
NB: Upimaji wa eneo hilo utaanza mda wowote kuanzia...
Kwa anayeweza kukopesha 3m na arudishiwe milion moja na laki mbili kila mwezi kwa mda wa miezi mitatu.. Mkopaji ana kazi nzuri tu mwajiriwa Sema anahitaji mkopo wa haraka wa 3m ajazilizie kwenye...
Kama una-
1. mini-supermarket
2. Pharmacy
3. wholesale shop
4. Hardware
5. nk
Umehangaika sana na mahesabu kujua faida na hasara mpaka upige hesabu mwisho wa mwezi
hujui bidhaa gani zinaenda...
Wakuu mm nimekuwa mmoja Kati ya watu wanaoamini katika betting. Juzi jumamoc Nimeweka mkeka Wang meridianbet Kwa dau la elfu hamsin na possible winning ilikua million 26 nilijiachia kwa hicho kiac...
Wakuu wasalaam,
Kichwa cha habari chahusika, natafuta frem ya biashara iwe maeneo ya kinondoni, makumbusho, mwenge au tabata. Kwa mawasiliano zaidi nione pm.
Nawasilisha.
Preparation for the 2016 National Form Four Examinations for business studies begin saturday October 1st, 2016 at EABMTI offices Msasani Peninsular. We will conduct review classes for Commerce...
Habari wadau,
Nauza lexus is200 bei ni 6 million
6 cylinders, Automatic.
Functioning cruise control
Heated Seats.
Semi leather
Custom front bumper with LED fog lights
Fiberglass custom side...
Kwa anaejua kichina anisaidie,juzi kwenye pita pita zangu mitaani nikakuta nguo za mtumba zinauzwa nikanunua moja kubwa kwa lengo la kwenda Ku edit.Nilipofika home kuikagua mifukoni nikakuta coin...