Rejea kichwa cha habari,najaribu kuangalia uwezekano wa kupata GARI la biashara hasa basi.
Mtindo wa malipo ni kwa installment Kadiri tutakavyokubaliana.
Down payments ipo kulingana na dhamani...
Wandugu Habari,
Nimeitiwa eneo lenyeukubwa wa heka mbili karibu na Dar zoo naomba kuuliza kuhusu uhalali wa maeneo yale. Ni nyuma ya Dar zoo wanauza milioni mbili kwa heka.
Mwenye ufahamu...
Product Highlights
Model: 42LB6520
Resolution 1920*1080
Smart
Web OS
3D
App Store
Wi-Fi Built In
LAN
Miracast
Magic Motion Remote
3 HDMI Ports
3 USB Ports
Four 3D Glasses
Sound Output 10w+10w...
Pata simu, keyboard, nguo, frashidisk, n.k kutoka nje ya nchi kama vile U.S kwa bei nafuu, follow me at https://www.linkedin.com/in/brice-juliusjoram-75b923124 or contacts at +255746373535 &...
Habari wana jf, samahani nilikuwa ninashida na kitabu kilicho andikwa na J.Robert Parkinson kinachoitwa HOW TO GET PEOPLE TO DO THINGS YOUR WAY mwenye kitabu hicho naomba anisaidie kuniwekea hapa
Ndugu wana jf,naomba kufahamu bei za viwanja ambavyo vimepimwa na cda na vina hati.rafiki yangu ananiuzia kiwanja block f ,miganga west area sqm 502 dodoma naomba kujuzwa bei halisi
Ndugu wapendwa habarin za mchana. Naelekea Dar wenyej tafadhar naomba mnielekeze hotel ntakayoweza fikia kwa hiz siku chache. Chumba kisizid 45. Asanten
1000watts
Smart
Full HD Up-scaling
Premium content
Wireless Audio Streaming via Bluetooth
USB Direct Recording & Playback
3D Playback
LG Apps
Wired(Ethernet)
External HDD Playback
price: 780,000...
Nyumba ipo Tegeta. Ina vyumba vitatu vya kulala, Master bed ni self container, Jiko la kisasa, choo na bafu vyote ni vya kisasa. Sebure kubwa pamoja na chumba cha kulia. Parking kubwa yenye uwezo...
Naomba msaada ndugu zangu simu yangu imeanguka na kuvunjika kioo nahitaji kubadilisha naombeni kama unafahamu alipo wakala wa LG hapa Dar niipeleke maana nimezunguka kariokoo bila mafanikio simu...
2GB RAM
16GB internal storage capacity
5.5 inches screen
Colour -black
2600 mAh Li-Ion
13 mp led flash back camera
5mp with led flash front camera
Ina warranty ya mwaka mmoja,imetumika miezi 4...
Wakuu mwenye kujua wapi napata mashine ya kitengeneza sabuni za unga na miche na maji anipe utaratibu wakuu au kama kuna muuzaji wa hizo mashine anipigie 0754459572
Massage ni muhimu sana kama vile gari inavyo fanyiwa services na mwili pia una paswa kufanyiwa services ili kuweka katika hali nzuri muda wote wa shugli zako za kimaisha
Massage itakufanya uepuke...