Sifa za simu
RAM 1GB
INTERNAL 8GB
CAMERA 5mpx
Ina 4G Network
Line mbili. But line one ni tigo tu.
Simu bado iko poa kabisa.
Bei 160000
Cheki me whatsapp/call
0659 505081
African capital ni taasisi inayohusika ba utoaji wa mikopo kwa watumishi/wafanyakazi wa serikali TU. Ni kwanzia laki mbili mpaka million kumi. Malipo ni kwanzia miezi sita mpaka miaka mitano. Riba...
Natafuta Marine board kwa ajili ya ujenzi wa Slab maeneo ya Wazo Hill. Kama kuna mtu anauza used Marine board au kukodisha kwa bei nafuu naomba anitaarifu.
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu. Iwe na vyumba 2 au 3 vya kulala, master na public toilet. Jiko stoo seble, na paking, iwe na maji. Offer ni laki 1.70 nahamia dar kikaz sasa hv...
Salaam..nahitaji secretary/meneja wa ofisi,ofisi ni ya uwakili na ipo Dar es salaam maeneo ya Muhimbili.Mwombaji atakua na jukumu la kutunza ofisi,kupokea wageni ,usafi wa ofisi,Kufanya...
Mke wangu ni mwalimu Wa shule ya msingi na anafanyia kazi Arusha. Kama kuna mwalimu ambaye angependa abadilishane naye au kama unamfahamu mwalimu ambaye angependa kwenda kufanyia kazi Arusha...
Habari zenu wakuu (IMESHAUZWA)
Nauza air condition aina ya WESTPOINT yenye maelezo kama lebo yake inavyosomeka hapo chini pamoja na picha nyingine
Imetumika kwa muda wa miezi sita tu. Na nilikuwa...
Iko Magomeni popobawa - Dar Es Salaam...
Ina vyumba vitatu vikubwa na eneo kubwa mbele yake la mita 20 kwa 20
Bei : 30million (mazungumzo yapo)
Contact : 0717 650800
Tafadhali serious buyer...
Habari wa ndugu
Nauza kiwanja kipo Tabata - Bonyokwa kisiwani karibu kabisa na shule ya Mesodonia, upande mmoja kinapakana na barabara ya Ole Meikoki inayoelekea chuo cha Masanja. Kina ukubwa...
Kuna aina mbili za mashine ya kukamaua alizeti nimezipenda natamani niagize moja wapo toka china ndogo ni USD 1,410 na kubwa ni USD 3,280 mpaka inafika bandari yetu ya dar, hofu yangu ni kumudu...
Vitu vifutavyo vinauzwa haraka sana
Tv brand new home base na warranty ya mwaka 290 24
*Toyota alteza 2002 model s200* _boss kalewa leo anapokea 6.5_
Toyota rav 4 kipis 6
Mistshubish canter...