Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari zenu. Mwenzenu nimeamua kujiajiri kwa kufungua saluni ya kike. Nasuka na kushonea weaving mitindo yote. Pliz wadau wa arusha karibuni sana jamani mniunge mkono mwenzenu. Kwa mawasiliano...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Jifunze computer programming,web development skills kwa bei nafuu,pia page development tutorial,na pia kupata vifurushi vizuri vya internet.Piga 0759124378
1 Reactions
1 Replies
251 Views
Bei ni nafuu sana wawil elf 7 tu piga simu kawaida au whats app 0712505049 had mkoani wanafika kwa bus .
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Jipatie Laptop original zenye ubora kwa bei rafiki. Tunapatikana Dar es Salaam Kariakoo. Kwa mawasiliano: 0712793505
1 Reactions
49 Replies
4K Views
NATAFUTA BAISKELI kwa ajili ya Mwanangu kwenda shule Kidato Cha kwanza. Budget yangu ni Tsh. 70,000/= Nipo Kilombero Morogoro
2 Reactions
4 Replies
386 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji moja kati ya gari hizi Toyota vitz, Old au New model Suzuki swift Old au New model Mwenye ist na rastic anakaribiswa bajeti yangu ya 5M...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wakazi wa Dar.... Jiko la gesi plate mbili (Hotpoint), mtungi wa kg30 na pipe yake pamoja na meza yake vyote nahitaji 100000...mzigo upo tegeta piga 0783350399 kama unahitaji...
0 Reactions
1 Replies
369 Views
ACER cx 708 8GB RAM, 500 HDD 19" Monitor Window 10 Pro Bei 330000
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Tunasafisha masofa pamoja na sity za magari, makpti(mazuria) Tunakufata ulipo(nyumbani, officine) kukufanyia kazi yako, kwamawasiliano call, 0655556426 ata whathp👉
4 Reactions
3 Replies
338 Views
Nauza hii White Board unaweza kutumia kufundishia, kupangilia mipango yako, Progress, To do list nk Nakupa Makers zake na ufutio Bei 60,000 Tzs
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mzigo wangu wa maharagwe ninazo Kg 600 nauza kwa bei ya Tsh 1800. Usafiri Utalipia mzigo Upo Kasulu Kigoma. Ni maharagwe mazuri yaliyovunwa Mwaka huu.
0 Reactions
14 Replies
813 Views
Follow this link to join my WhatsApp group: MAFIA ISLAND FESTIVAL Hili ni kundi maalumu kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za kukuza utalii na uwekezaji nchini...
1 Reactions
0 Replies
404 Views
Natanguliza shukrani za dhati kwa waasisi na wadau wote wa ukurasa huu. Tunatengeneza oda mbalimbali za unifoms za kufanyia kazi. Naomba kuwakaribisha sana kwa oda mbalimbali, bei zetu ni...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Tunauza nguo za kike Nguo nzuri, quality nzuri Tunapatikana Mwanza Kirumba 0699728254 watsap/call Mikoani natuma Karibu upendeze.
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Habari wakuu. Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu. Piga 0713 039 875
0 Reactions
3 Replies
533 Views
Ulikuwa ni wakati mzuri kupata nafasi ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha (Hifadhi ya Pili kwa ukubwa Tanzania)inayopatikana ndani ya mji wa Iringa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Uhasibu...
3 Reactions
4 Replies
445 Views
Wadau nitaupata wapi mzani mkubwa used wa kupimia nafaka let say kg 200 kwa pamoja
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za, The Horizon ndani ya mji wa Bagamoyo ikiambatana na kusherehekea sikukuu ya Christmas, ikitukutanisha wadau kutoka kona mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Kwa mahitaji ya huduma ya utaalamu wa mashine za kutotoresha vifaranga za aina zote *Kuunda *Kuboresha *Kurekebisha *Ushauri Piga 0785165877
0 Reactions
14 Replies
1K Views
MAHITAJI YA BIDHAA ZA UBORA MADUKANI! Ndugu Mfanyabiashara, Tunapenda kukuletea bidhaa bora kabisa kwa ajili ya duka lako. Tunazalisha na kusambaza bidhaa zifuatazo: Mafuta ya Nywele ya Asili...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…