Leo tumefanya Generator installation kwenye kiwanda kimoja hapa Dar.
Pia tunatengeneza Upande wa Engine pamoja na Kusuka vinu yaan Motor and Ac Alternator Rewinding. Tunapatikana Tabata Relin...
Nauza eneo langu, lipo Kigamboni Mwasonga heka mbili
BEi: 15 million
Halijapimwa, lina document za mauziano za serikali ya mtaa
Linafaa kwa kukata viwanja, kilimo, ufugaji, makazi n.k
Hyo barabara...
Piga 0746373222...Je,umechoka kusumbuliwa na vibaka na WIZI wanaoruka fensi YAKO na kuja kukuibia ndani ya NYUMBA?
Je,umechoka kuwa na NYUMBA yenye fensi lakini fensi hiyo haikusaidii kuzuia WIZI...
Habari wakuu....
Nahitaji godoro liwe 5*6 kuanzia inch 8 na kuendelea.
Mahali linapohitajika:Unguja Zanzibar
Bajeti Iko vizuri wewe taja bei kulingana na ubora.
Air cooler inayotakiwa ni Orient...
Habari wadau, nauza acoustic guitar kama linavyoonekana kwenye picha hapo, lipo vizuri na linapatikana mbagala kuu. Kwa mwenye kuhitaji anaweza kuni PM bei ni 140k .
Asanteni
House For Sale.
Location: Msasani Near Dar Villa, Misitu St.
Features: 1 storey, 4 bedrooms, 4 bathrooms, public toilets, Kitchen, Laundry, Dining, Sitting, Store, water tank, and servant's...
Nahitaji pikipiki iliyotumika moja kati ya nilizotaja hapo juu. Iwe namba D/E...
Ile ya matumizi binafsi (namber plate ya njano) itapendeza zaidi kwa mwenye nayo.
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni...
mfumo wa VFD SYSTEM ni mfumo wa utoaji receipt za tra ambao ni mpya na ushaanza kufanya kazi Tanzania ambao mfumo huu mfanya biashara ataunganishiwa kwenye simu yake au computer kwa kufanya...
Kwa mwenye nayo na yenye nyaraka halali naomba anicheki inbox tuyajenge. Shariti iwe TVS hlx 125, Haujue express 125 au honda cb 125. Yenye usajili D/E... njano itapewa kipaumbele zaidi.
Ndugu wa Wana Jamii forams, habarini za za Leo?
Kama nilivyo taja hapo juu , eneo liko Makambako. Km 12 Toka stand kuu y a Makambako.
km 4toka barabara ya kuelekea Songea.
Ukubwa acre 4
Bei...
Kuna mashamba matatu ya miti ya Mbao jamii ya pines ( pinus patulla), miti ina umri wa miaka 12 na 13. Miti hii iko kijiji cha Chogo Mufindi, ni 100km toka Mafinga kwa njia ya Ibwanzi, au 120km...
Nyumba Inauzwa Tabata.
Mahali: Misewe B, Liwiti.
Sifa za nyumba:
• Ina vyumba vya kulala 3 na master 1.
• Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, Jiko na stoo.
• Ina korido kubwa ya ndani na...
**
Nyumba inauzwa katika eneo la Ukonga, Dar es Salaam.
Ukubwa wa Kiwanja: 885 mita za mraba
Hati: Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki
Vyumba: Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, na sebule...