Habari wakuu.Natafuta nyumba yenye sifa zifuatavyo.
1.Master room moja
2.Chumba cha wageni
3.Jiko
4.Sebule
5.Maliwato
6.Iwe na maji na umeme
7.Iwe sehem salama
8. Budget laki moja hadi laki moja...
Wakuu,
Nahitaji Line mbili za Halotel chuo, nina shilingi 10,000/= kwa kila Line yaani nakupa 20,000/= kwa line zote mbili.
Nipo SINGIDA
NO: 0712-268339
Wakuu naombeni mnisaidie kiwanda kinachozalisha chupa hizi za plastic kwa hapa Dar, ninashida nazo sana.
HII NI YA LITA MOJA
PIA HII NI YA LITA MOJA
HIYO HAPO NI YA LITA TANO
Nataka kujua...
Kipo Mihuji-Mwatano, kina ukubwa Wa 30 kwa 26, kipo karibu na chuo kipya cha Nursing, 2kms from Arusha road, bei 9m Pungufu inaongeleka
Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
British army is taking people between the ages of 18 to 32 into their army from commonwealth countries. Inform interested people to go to their website to apply.
They need people that bad and...
Habari wana JamiiForums,
Ninauza tangawizi za Kigoma, kilo moja kwa sh 2200 ninauza kuanzia kilo tano na kuendelea kwa jumla, ukihitaji nipigie kwa number hii 0654564224 niko Dar es Salaam Temeke.
Ina frem 3 bado ni mpya ina 3phase umeme,parking,3bathrooms.
Mobile:0767700292 serious buyers only
Kerege(Bagamoyo rd) ni eneo linalofuata baada ya kutoka Bunju,na Mapinga
Sent from my HTC...
Wanajukwaa habari zenu?
Ninauza kiwanja changu (surveyed) bado hati tu (title deed) ambayo process yake haizidi 250,000 Tshs.
Atakayekinunua nitam-link na watu wa ofisi ya Ardhi Kibaha...
Hodi wana JF,
3D Press Printer/Heat Press inauzwa kwa bei poa sana, ni nzuri kwa wajasiriamali wa Stationery, Printers au yeyote anayetaka kuendesha biashara ya kuprint Promotional items k.v...
Wazawa Inventory Manager is web based application which facilitates accurate management of stock and business as whole. Main goal of this software is to minimize/ reduce manual control of...
Wakala wa Kupokea na Kusafirisha Mizigo ni watu waliopewa leseni na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ushuru kufanya kazi ya kushughulikia nyaraka na kupokea mizigo kutoka kwenye udhibiti wa forodha...
Habari zenu wanajumuia
Mm ni mdau wenzenu natokea mwanza napenda kufahamia na wajasiriamali wenzangu walioko mikoa yenye uitaji wa samaki..aina y sato na sangara..kwa maongez zaidi call me...
Natafuta Pikipiki aina Ya Boxer Kwa Tsh 1million.
Vigezo.
1.Pikipiki isiwe ya Uwizi ama dalili zozote za kupatikana kitapeli.
Kumbuka Shahidi wakati wa Manunuzi kwa Upande wangu atakua Askari...
kwa wale wanaotaka kufuga offer hii ni kwa mwezi huu pekee.
utapata vifaranga wa kwale
bei zetu:
Wiki 1 - 1,600
Wiki 3- 3,000
mwezi- 5,000.
Wiki 1 utauziwa kuanzia 50. Wengine kuanzia 25 na...
JM KAZIMOTO SHOP
OMURUSHAKA KARAGWE KAGERA.
Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)
-upana wa 107cm na 98cm
gauge28 ni 37,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft
gauge30 ni 33,360/piece ya...