Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Visiga kwa gharama ndogo

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Wanajukwaa habari zenu?
Ninauza kiwanja changu (surveyed) bado hati tu (title deed) ambayo process yake haizidi 250,000 Tshs.

Atakayekinunua nitam-link na watu wa ofisi ya Ardhi Kibaha waliowasaidia wateja wangu wengine.

Ninaihitaji sana na pesa (as soon as possible). Kuna shida nataka niitatue.

Bei:
Market price (Bei ya sokoni): 6,000 Tshs/ sqm
Selling price (Bei ya kuuza): 4,000 Tshs/ sqm (lakini maelewano yapo).

Ni kiwanja kilichopo katika eneo lenye viwanja vilivyopimwa zaidi ya 200 ambavyo ndani yake kuna plan ya sehemu za huduma za Jamii na mitaa iliyopangwa vizuri.

Ni eneo la Mzee mmoja ambaye ana ekari zaidi ya 100 (zingine amepanda miembe ya kisasa).

Bei anayouza ni 6,000 Tshs kwa sqm

Mimi nauza Tshs. 4,000/ sqm (na maelewano yapo ili mradi pesa niipate mapema iwezekanavyo).

Contacts: 0763718328

Njoo tuelewane bei.
 
Nauza kiwanja 960sqm - Visiga Kibaha

Tangazo lake la kwanza hili hapa ambapo kuna maelezo ya ziada .
 
Umeandika kama vile kila mtu anapajua Visiga. Anyway acha waliokuelewa waje wanunue.

Duh, kwa hiyo Visiga 'sheli' mtu hawezi kupajua isipokuwa nikisema 'Kwa Athuman' nd'o patajulikana vizuri.... kwamba kupajua Visiga 'sheli' ni tabu kuliko kupajua kwa Athuman?
Duh!
 
Duh, kwa hiyo Visiga 'sheli' mtu hawezi kupajua isipokuwa nikisema 'Kwa Athuman' nd'o patajulikana vizuri.... kwamba kupajua Visiga 'sheli' ni tabu kuliko kupajua kwa Athuman?
Duh!
Wanajukwaa habari zenu?
Ninauza kiwanja changu (surveyed) bado hati tu (title deed) ambayo process yake haizidi 250,000 Tshs.

Atakayekinunua nitam-link na watu wa ofisi ya Ardhi Kibaha waliowasaidia wateja wangu wengine.

Ninaihitaji sana na pesa (as soon as possible). Kuna shida nataka niitatue.

Bei:
Market price (Bei ya sokoni): 6,000 Tshs/ sqm
Selling price (Bei ya kuuza): 4,000 Tshs/ sqm (lakini maelewano yapo).

Ni kiwanja kilichopo katika eneo lenye viwanja vilivyopimwa zaidi ya 200 ambavyo ndani yake kuna plan ya sehemu za huduma za Jamii na mitaa iliyopangwa vizuri.

Ni eneo la Mzee mmoja ambaye ana ekari zaidi ya 100 (zingine amepanda miembe ya kisasa).

Bei anayouza ni 6,000 Tshs kwa sqm

Mimi nauza Tshs. 4,000/ sqm (na maelewano yapo ili mradi pesa niipate mapema iwezekanavyo).

Contacts: 0763718328

Njoo tuelewane bei.

Wanajukwaa napokea pesa kwa installments.
1.5M July
1.0M Aug
1.0M Sept
 
Naomba hata mtu anikopeshe 2,000,000 mwezi August tarehe 15 nitamrudishia kwa miezi 6 kuanzia Sept tarehe 16, Oct, Nov, Dec, Jan, na Feb kwa dhamana ya hicho kiwanja.
 
Back
Top Bottom